Hivi kujikuta unamka bila nguo wakati ulizivaa wakati wa kulala ina maana gani?!!

Baada ya wiki kapime ujauzito πŸ˜‚

Baada ya miezi mitatu kapime ukimwi πŸ˜‚

Baada ya siku tatu anza route za kupima magonjwa mengine ya zinaa πŸ˜‚
What is this πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hapo huna marinda hata kama ukijiona uko sawa watakua wamekuingilia kiroho na mambo ya kiroho hayaonekani kwa macho ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…