Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi.
Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine wanaendaga mbele zaidi na kutuambia tusile nyama badala yake tule maharagwe.
Hivi utamu wa nyama hususan nyama choma madaktari hawaijui?