Kama nyama ni tiba mbona mwili wako mwenyewe ni nyama tosha, Dawa ni lazima iwe tofauti na kinachotibiwa, miili yetu imejengeka katika hali ya "animal proteins" sasa tunapougua dawa haiwezi kuwa animal proteins bali lazima iwe ni kitu kingine kinyume chake.Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi. Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine wanaendaga mbele zaidi na kutuambia tusile nyama badala yake tule maharagwe. Hivi utamu wa nyama hususan nyama choma madaktari hawaijui?
You have a point. ThanksNyama ni burudani tu maana hakuna kiumbe duniani anaekula nyama akawa na afya njema angalia chui, fisi, Simba, paka na binadamu linganisha na twiga, tembo, ng'ombe, mbuzi n.k...
Yupo sahihi, ukiwa na type 2 diabetes, ukila nyama ukipunguza carbs unapona, sema hii code madaktari wanaifichaNiliwahi kumuona daktari mmoja anamshauri jamaaa yangu anaumwa kisukari kuwa azidishe kula nyama sana.Akamwambia ukiwa na sukari unakuwa na upungufu wa protini ...
Mtu mwenye kisukari type 2 akila nyama na akapunguza carbs anapona moja kwa moja, maelezo yake ni marefu ila kama una bando cheki documentary inaitwa fat fictionKama nyama ni tiba mbona mwili wako mwenyewe ni nyama tosha, Dawa ni lazima iwe tofauti na kinachotibiwa, miili yetu imejengeka katika hali ya "animal proteins" sasa tunapougua dawa haiwezi kuwa animal proteins bali lazima iwe ni kitu kingine kinyume chake.
Hizo ni fikra zangu, niporadhi kusahihishwa.
Hapa Kuna ukweli,Yupo sahihi, ukiwa na type 2 diabetes, ukila nyama ukipunguza carbs unapona, sema hii code madaktari wanaificha
Na hawanenepagi sanaHapa Kuna ukweli,
Wamasai wale original (acha Hawa WALINZI wa Dar wanaokula kwa mama ntilie) wale OG hawapati kisukari Wala presha.