William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Form four ulipata miswaki mitupu
In God we trust
Hujitambui dogo- hahahahahaha alikufukuza nini? Yaani amenifukuza halafu nikampeleka RC last week pale pale inawezekana kweli? hahahahahaha pole sana naona huna la maana
le Mutuz
Mi mwanamke ndugu yangu, kulipiwa hotel kama hiyo ni fahari kwangu. But am sure wewe hata mia hujatoa. Ushalipiwa tayari...teh teh
Hujitambui dogo
In God we trust
Hahaha we kweli mshenzi,picha za mbali ni za Hilton za kitandani umejifunika shuka ni za selfie hahahaa hapo nahisi ni chumbani kwa Paul hapo hahaha Mbebez waoView attachment 566910
- hahahahahaha yaani usingizi wa ajabu ni mtamu hakunagaz chezeya Presidnetial Suite U know Hilton hahahaha
le Mutuz
Mwanaume lazima amlipie mwanamke. Hapo umelipiwa na kidume am sure. Anyway hayanihusu..- so mwanamke kazi yako ni kulipiwa na wanaume bila sababu? hahahaha mimi nalipia kama ninavyolipia hii ofisi yangu pole sana ila kulipiwa lipiwa kuwa mungalifu kidogo hahahahahaha
le Mutuz
Hahaha we kweli mshenzi,picha za mbali ni za Hilton za kitandani umejifunika shuka ni za selfie hahahaa hapo nahisi ni chumbani kwa makonda hapo hahaha Mbebez wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tukutumbue- una uhakika na hili? hahahahaha sasa niliandaje High School ya Serikali? hahahahahaa
le Mutuz
Mwanaume lazima amlipie mwanamke. Hapo umelipiwa na kidume am sure. Anyway hayanihusu..
Who are you ?- hahahaha yaani mtu unajitambua unapoteza muda na asiyejitambua serious?
le Mutuz
Subiri tukutumbue
In God we trust
Who are you ?
In God we trust
Hahaha limekupata hilo hahaha Yule kijana ana akili kuliko wewe,kweli ukikosa mke umekosa vyote katika maisha yoote haya maupuuzi ni sababu umekosa wa kukudhibiti- ina maana ulishalazwa hhuko kwa Makonda wewe mtoto wa kiume? Duh umejuaje kuwa kwa MAkonda kuna mashuka meupe? hahahahahahah unajisema mwenyewe tabia za jinsia yako hahahahahaha
le Mutuz
Hongera sana bhana le mutuz kwa online TV ni hatua nzuri sana jitahid kuja na vipind bora zaidi . big upView attachment 566896
- hahahahahaha kama unahitaji ajra karibu tuma CV tutakufikiria hahahahahahaha
le Mutuz
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.
Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
Demi huduma utayotoa kulipiwa hotel hata yeye pengine anaitoaMi mwanamke ndugu yangu, kulipiwa hotel kama hiyo ni fahari kwangu. But am sure wewe hata mia hujatoa. Ushalipiwa tayari...teh teh
Ushalipiwa mkuu acha fujo.- kilipiwa ni tabia ambayo umeizoea mimi nalipia maisha yangu toka nikiwa majuu, ninalipa mpaka mishara ya wafanya kazi wangu ila kwa wewe kulipiwa lipiwa utaomba visivyotakiwa U know hahahahaha
le Mutuz
Hahaha limekupata hilo hahaha Yule kijana ana akili kuliko wewe,kweli ukikosa mke umekosa vyote katika maisha yoote haya maupuuzi ni sababu umekosa wa kukudhibiti
Sent using Jamii Forums mobile app