Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
- hahahahahaha alikufukuza nini? Yaani amenifukuza halafu nikampeleka RC last week pale pale inawezekana kweli? hahahahahaha pole sana naona huna la maana

le Mutuz
Hujitambui dogo

In God we trust
 
Mi mwanamke ndugu yangu, kulipiwa hotel kama hiyo ni fahari kwangu. But am sure wewe hata mia hujatoa. Ushalipiwa tayari...teh teh

- so mwanamke kazi yako ni kulipiwa na wanaume bila sababu? hahahaha mimi nalipia kama ninavyolipia hii ofisi yangu pole sana ila kulipiwa lipiwa kuwa mungalifu kidogo hahahahahaha

le Mutuz
 
- so mwanamke kazi yako ni kulipiwa na wanaume bila sababu? hahahaha mimi nalipia kama ninavyolipia hii ofisi yangu pole sana ila kulipiwa lipiwa kuwa mungalifu kidogo hahahahahaha

le Mutuz
Mwanaume lazima amlipie mwanamke. Hapo umelipiwa na kidume am sure. Anyway hayanihusu..
 
Hahaha we kweli mshenzi,picha za mbali ni za Hilton za kitandani umejifunika shuka ni za selfie hahahaa hapo nahisi ni chumbani kwa makonda hapo hahaha Mbebez wao

Sent using Jamii Forums mobile app

- ina maana ulishalazwa hhuko kwa Makonda wewe mtoto wa kiume? Duh umejuaje kuwa kwa MAkonda kuna mashuka meupe? hahahahahahah unajisema mwenyewe tabia za jinsia yako hahahahahaha

le Mutuz
 
Mwanaume lazima amlipie mwanamke. Hapo umelipiwa na kidume am sure. Anyway hayanihusu..

- kilipiwa ni tabia ambayo umeizoea mimi nalipia maisha yangu toka nikiwa majuu, ninalipa mpaka mishara ya wafanya kazi wangu ila kwa wewe kulipiwa lipiwa utaomba visivyotakiwa U know hahahahaha

le Mutuz
 
Subiri tukutumbue

In God we trust
upload_2017-8-15_16-19-9.jpeg

- Tuma CV tukusaidie kazi mkuu bado zipo nafasi za watangazji

le Mutuz
 
- ina maana ulishalazwa hhuko kwa Makonda wewe mtoto wa kiume? Duh umejuaje kuwa kwa MAkonda kuna mashuka meupe? hahahahahahah unajisema mwenyewe tabia za jinsia yako hahahahahaha

le Mutuz
Hahaha limekupata hilo hahaha Yule kijana ana akili kuliko wewe,kweli ukikosa mke umekosa vyote katika maisha yoote haya maupuuzi ni sababu umekosa wa kukudhibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg
upload_2017-8-15_16-21-4.jpeg

- Page 15 tayari duh, ok guys thanks kwa kuendelea kuliweka jina langu juu maana ukiona unapata page 10 JF ujue wewe kweli ni Big Celeb, so thanks guys muwe na siku njema sana tutakutana tena soon

le Mutuz
 
- kilipiwa ni tabia ambayo umeizoea mimi nalipia maisha yangu toka nikiwa majuu, ninalipa mpaka mishara ya wafanya kazi wangu ila kwa wewe kulipiwa lipiwa utaomba visivyotakiwa U know hahahahaha

le Mutuz
Ushalipiwa mkuu acha fujo.
 
Hahaha limekupata hilo hahaha Yule kijana ana akili kuliko wewe,kweli ukikosa mke umekosa vyote katika maisha yoote haya maupuuzi ni sababu umekosa wa kukudhibiti

Sent using Jamii Forums mobile app

- Sasa mbona hujajibu umejuaje kuwa kwa Makonda kuna mashuka meupe? hahahahahaha jibu swali umesema mwenyewe hapo ni kwa Makonda ulijuaje? hahahahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom