[emoji23][emoji23][emoji23]Bongo hatari, muda huu tu Wali & maharage vimepanda bei zaidi hitelini & migahawani.... nilikuwa nakula kwa migahawani kwa shiling 1500, leo nimekuta 4000 kisa billgate
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujidondoshakama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
Maharage ndio mboga ya Taifa ikisimangwa ni issue...aliebuni iliwe shuleni alicheza kweli maana yenyewe ikikatiwa kitunguu bila mafuta inaliwa tu bila shida, ikikosewa kuungwa inaliwa pia na ikiungwa kitaalamu hapo ndo balaa kama ulikuwa unakula sahani moja basi utaongeza ya piliHuyu "mutu nene" ni vema akafunguliwa kesi ya uhaini kwa kukisimanga chakula pendwa!
Ni "mtoto" wa miaka 59 na bado hajavunja "ungo"!Lemutuz ana umri gani ?Huenda utoto unamsumbua
mbona jamaa yake ALIDINDA kujishUsha mpaka TEF wakamshusha hahahahahaHivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.
Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
Ni "mtoto" wa miaka 59 na bado hajavunja "ungo"!
Duh! Hii hatari sana. Kwa hiyo jamaa bado ni kijana "mbichi"?Hahahahaha Tunasema hajavunja le ungoz...
Duh Kumbe ni retired!Ni "mtoto" wa miaka 59 na bado hajavunja "ungo"!
Na ni "retarded" pia!Duh Kumbe ni retired!
Oh oo oo!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Eti anajilinganisha na bill gates wakati alishindwa hata kumjengea nyumba mama ake
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Kitu kinaenda live ITV,AZAM TV,CHANNEL TEN,TBC,CLOUDS TV,E-TV,STAR TV etcNikiwa na mtoto kama Le Mutuz, najinyonga hadharani kabisa. Naweza kwenda Garden pale posta NBC nikajinyonga mubashara.
Heri kufa kuliko kutahayarika mbele ya kadamnasi.