Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
Huyu "mutu nene" ni vema akafunguliwa kesi ya uhaini kwa kukisimanga chakula pendwa!
Maharage ndio mboga ya Taifa ikisimangwa ni issue...aliebuni iliwe shuleni alicheza kweli maana yenyewe ikikatiwa kitunguu bila mafuta inaliwa tu bila shida, ikikosewa kuungwa inaliwa pia na ikiungwa kitaalamu hapo ndo balaa kama ulikuwa unakula sahani moja basi utaongeza ya pili
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg
mbona jamaa yake ALIDINDA kujishUsha mpaka TEF wakamshusha hahahahaha
 
Eti anajilinganisha na bill gates wakati alishindwa hata kumjengea nyumba mama ake

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
KWA HYO ANAMAANISHA MAHARAGE NI CHAKULA CHA MASKINI?
WANAUME WA DAR BHANA.
Akila kuku wa kisasa na chps ndiyo anaona maisha mazuri mwishowe wanakuwa na mimba (vitambi) na MINYAMA ZEMBE

KITANDANI SEKUNDE 5 KWISHA HABARI YAKE.
Wali maharagwe ingekuwa chakula cha maskin bill gates asingekula.. Hata bakhresa anakula wali maharage..
 
Huyo mzee ilibidi wamuweke kwenye ile kamati ya makinia aisee.
 
Hv naomba kuulza BG alimaliza huo wal maharag kwel au alpgia picha tu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Nikiwa na mtoto kama Le Mutuz, najinyonga hadharani kabisa. Naweza kwenda Garden pale posta NBC nikajinyonga mubashara.

Heri kufa kuliko kutahayarika mbele ya kadamnasi.
Kitu kinaenda live ITV,AZAM TV,CHANNEL TEN,TBC,CLOUDS TV,E-TV,STAR TV etc

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom