William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
mkuu le baharia ,mimi ni follower wako IG ,mbna kila siku unaweka pic uko kwako ila hujawahi ku upload ya mwanao ? I know hukai nao bt hawaji kukutembeleaga ? Em tumuone mwanao
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu le baharia ,mimi ni follower wako IG ,mbna kila siku unaweka pic uko kwako ila hujawahi ku upload ya mwanao ? I know hukai nao bt hawaji kukutembeleaga ? Em tumuone mwanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee malecela njoo uchukue jipu lako hukuView attachment 566024
- jana hiyo wakati wewe unalalamika huku sisis tunakula batazzzz na watoto wazuri, wewe shikilia miaka tu ya wanaume usiowajua huku JF hahahahahahaha
le Mutuz
Angekua na hela huyu babu tusingepata nafasi hata ya kijamba humuHuyo maisha yke ya kujisifia noah imechoka kma daladala za chato to geita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee malecela njoo uchukue jipu lako huku
Yani ni babu jinga kazi kuvizia msosi,kiuhalisia yuko teee balaa ukikutana nae kwenye noah yke imechoka kma gari la takaAngekua na hela huyu babu tusingepata nafasi hata ya kijamba humu
Aisee nilidhani ni mimi peke yangu.Wali maharage utabaki kuwa my favourite food of all time... Hata iweje...
I mean, unaanzaje kutopenda chakula hicho... Damn it!
Sent using Jamii Forums mobile app
DAB kashalipia kk we kulaa tu
Makonda anaendeleaje?Wewe kama hujaelewa siuulize tofauti anayoongelea ya kwa Mama Ntilie na 4*/5* hotel aubumetaka tu kuandika!?
Kwani kila kitu mpaka kuandikiwe!!! Hamuwezi kufikiria nje ya box.. udaku.com huo kawapa cha uso na ni ukweli mtupu kausema kuna ambao kwa Mama Ntilie ni mwiko hata njaa ikiwabana na kukosa pesa ya hotelini.
Hahaha heshimu wakubwaLemutuz kama unajiamini tuwekee picha ya noah yetu ile hapa[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umeniacha hoi[emoji28] kwahyo wanateteanaMakonda anaendeleaje?
Mimi huwa nahisi lemtuz n mtoto wa maabara maana umri hauendani na akili amechelewa sana kulingana na akili za mwanadamu wa kawaida
Yani ni babu jinga kazi kuvizia msosi,kiuhalisia yuko teee balaa ukikutana nae kwenye noah yke imechoka kma gari la taka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wanajuana hao mkuu.Le Super friend haha