Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
mkuu le baharia ,mimi ni follower wako IG ,mbna kila siku unaweka pic uko kwako ila hujawahi ku upload ya mwanao ? I know hukai nao bt hawaji kukutembeleaga ? Em tumuone mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu le baharia ,mimi ni follower wako IG ,mbna kila siku unaweka pic uko kwako ila hujawahi ku upload ya mwanao ? I know hukai nao bt hawaji kukutembeleaga ? Em tumuone mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-14_19-8-16.jpeg


- Jana Presidential Suite the Double Tree Hilton Masaki, guys punguzeni kelele hahahahaha

le Mutuz
 
Akili kubwa wakati yeye anapiga pesa wao wanajadili maharage .


Alichokifanya le brother ni kuturn maharage into mega profit....
 
Wewe kama hujaelewa siuulize tofauti anayoongelea ya kwa Mama Ntilie na 4*/5* hotel aubumetaka tu kuandika!?
Kwani kila kitu mpaka kuandikiwe!!! Hamuwezi kufikiria nje ya box.. udaku.com huo kawapa cha uso na ni ukweli mtupu kausema kuna ambao kwa Mama Ntilie ni mwiko hata njaa ikiwabana na kukosa pesa ya hotelini.
Makonda anaendeleaje?
 
Bill Gates ni mtu tajiri kuliko watu wote duniani kwa hesabu za Forbes na Bloomberg.

Angeweza kuwa popote alipotaka.

Akachagua kwenda kula wali na maharage na watoto masikini bila ya kuwa na uhakika kwamba akimaliza kula wali na maharage hapo hatapata tumbo la kuhara kwa sababu ni chakula na mazingira ambayo huenda hayajapata kuzoeleka na tumbo lake.

Mtu akisema Bill Gates kajishusha siwezi kushangaa.

Kwa sababu hata kama shughuli ni Tanzania angeweza kutaka shughuli ifanywe level ya Serena Hotel na ingefanywa na angekula vyakula vya level ya Serena.

Sasa mtu akisema Bill Gates kajishusha kula wali na maharage mazingira hayo siwezi kushangaa.

Najua wabongo wa kawaida tu wakirudi bongo likizo mashauzi mengi, Bill Gates zungu la roho lishawahi kunywa mpakamaji yaliyochujwa kutoka katika mavi halina noma hilo akili zake si nzuri.
 
Mimi huwa nahisi lemtuz n mtoto wa maabara maana umri hauendani na akili amechelewa sana kulingana na akili za mwanadamu wa kawaida
Yani ni babu jinga kazi kuvizia msosi,kiuhalisia yuko teee balaa ukikutana nae kwenye noah yke imechoka kma gari la taka

Sent using Jamii Forums mobile app






- Nairobi Intercontinental U know too much fun in my life as oppose na kelele zenu huku hahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom