Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Linakula kama litoto, kiganja kizima kimejaa chakula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha siyo kisa Le baharia mkuu? You know super model, king of all socialnetwork, anayelipwa dollars kwa kila postBongo hatari, muda huu tu Wali & maharage vimepanda bei zaidi hitelini & migahawani.... nilikuwa nakula kwa migahawani kwa shiling 1500, leo nimekuta 4000 kisa billgate
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kama ulikuwa akilini mwangu hii ndo hadhi yake hapa hajashukakatika hiyo picha,chakula anachokula Le mutuz ndio hadhi,sasa kajishushaje hapo
Mkuu, tulia basi, unamwita 59yrs wakati anafikiria unyekiti wa uv ccm?? be fair buanaHuyu mzee miaka zaid ya 59 lakin mambo yake ni ujinga mtupu , Mzee malecela bora bao la huyu angekojoa tu nje sio kwa utahira huu alio nao
hahahahahaha huy mzee alilamba galasa bola angezaa kapu liendee sokoniHuyu mzee miaka zaid ya 59 lakin mambo yake ni ujinga mtupu , Mzee malecela bora bao la huyu angekojoa tu nje sio kwa utahira huu alio nao
karibu analingana kiumri na huyo BILL GATES ANA 62 MIAKA YA LE MUTUZ HAIPISHANI SANA NA YA BILLMtu wa umri wake sio wa kujifananisha na bill gates kula maharage.
Hiyo ni akili ndogo
Mungu niepushie mbali hiki kicheko jamaniNikiwa na mtoto kama Le Mutuz, najinyonga hadharani kabisa. Naweza kwenda Garden pale posta NBC nikajinyonga mubashara.
Heri kufa kuliko kutahayarika mbele ya kadamnasi.
ATASUBIRI FOMU NAMBA 34 A KAMA ODINGAMkuu, tulia basi, unamwita 59yrs wakati anafikiria unyekiti wa uv ccm?? be fair buana
Hawezi kuwa alimaliza inavyoonekana hapo kama alikua sana ni kijiko kimoja au hata asile but ni ile kuonyesha ushirikiano kwa nao watoto..Hv naomba kuulza BG alimaliza huo wal maharag kwel au alpgia picha tu
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
hahahahaaaaaKujidondosha
Na nasikia anacheo UVCCMNi "mtoto" wa miaka 59 na bado hajavunja "ungo"!