Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
Maharage ndio mboga ya Taifa ikisimangwa ni issue...aliebuni iliwe shuleni alicheza kweli maana yenyewe ikikatiwa kitunguu bila mafuta inaliwa tu bila shida, ikikosewa kuungwa inaliwa pia na ikiungwa kitaalamu hapo ndo balaa kama ulikuwa unakula sahani moja basi utaongeza ya pili
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg
Kujishusha anakoongelea ni kuwa na hao binadamu wenzie, haihusiani na chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg
upload_2017-8-14_18-44-17.jpeg

- Batann jana na le mbebezzz Mwarabu Rangi ya Mtume Super Mtindizzzzz hahahahahaha le kura maisha, vijana tafuteni wabebezz wazuri mle maisha ama sivyo mtajaza hii mitandao na kulia lia mpaka mnakufwa mazafantazzz hahahahahaha U know

le Mutuz
 
kazaliwa 1961 ila anajifanyaga bado yanki. siku moja insta alisema eti miaka ya 1980s alikuwa anasoma primary school.
upload_2017-8-14_18-46-11.jpeg

- jana hiyo wakati wewe unalalamika huku sisis tunakula batazzzz na watoto wazuri, wewe shikilia miaka tu ya wanaume usiowajua huku JF hahahahahahaha

le Mutuz
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg
Wewe kama (ke) fresh lakini kama ni (me) napata wasiwasi kauli zako za kikekike mfano ...sijui yupoje... Wanaume wa kweli hawajilegezi kihivyo komaa mtoto wa kiume acha kushinda na watoto wa kike jaribu kuwa na kampan vijana wenzako wa kiume ufundishwe maisha kidogo na utapunguza kulegealegea kama masistaduu
 
upload_2017-8-14_18-51-43.jpeg

- Relaxing at home jana, sasa wewe mtoto wa kiume unahangaika kujaza bando kufuatilia maisha ya wanaume huku JF mbona huzuni sana kwa wazazi wako, unadhani hawa wabebez wanaweza kukubali kichwa nazi kama chako mwanaume mzima unahangaika na wanaume huku JF? hahahahahahahhaha

le Mutuz
 
Wewe kama hujaelewa siuulize tofauti anayoongelea ya kwa Mama Ntilie na 4*/5* hotel aubumetaka tu kuandika!?
Kwani kila kitu mpaka kuandikiwe!!! Hamuwezi kufikiria nje ya box.. udaku.com huo kawapa cha uso na ni ukweli mtupu kausema kuna ambao kwa Mama Ntilie ni mwiko hata njaa ikiwabana na kukosa pesa ya hotelini.
 
View attachment 566029

- Relaxing at home jana, sasa wewe mtoto wa kiume unahangaika kujaza bando kufuatilia maisha ya wanaume huku JF mbona huzuni sana kwa wazazi wako, unadhani hawa wabebez wanaweza kukubali kichwa nazi kama chako mwanaume mzima unahangaika na wanaume huku JF? hahahahahahahhaha

le Mutuz
mkuu le baharia ,mimi ni follower wako IG ,mbna kila siku unaweka pic uko kwako ila hujawahi ku upload ya mwanao ? I know hukai nao bt hawaji kukutembeleaga ? Em tumuone mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 566029

- Relaxing at home jana, sasa wewe mtoto wa kiume unahangaika kujaza bando kufuatilia maisha ya wanaume huku JF mbona huzuni sana kwa wazazi wako, unadhani hawa wabebez wanaweza kukubali kichwa nazi kama chako mwanaume mzima unahangaika na wanaume huku JF? hahahahahahahhaha

le Mutuz
Brother namjibu huyo mtoa post mwenye tabia za kike sio wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom