Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Kila siku huwa nawaza sana hili suala!

Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅

Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani.

Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa na nikaenda nae dry

Hakika nili enjoy sana penzi lake huko usingizini.
 
Sina uhakika, lkn zamani kijijini kwetu tuliaminishana kuwa ukiota unamla demu basi uhalisia ni kuwa wachawi wanakuwa wapo busy wanakushughulikia wewe. Hiyo kukufanya ujihisi unamla demu ni katika kukupumbaza tu!
 
Kiroho umeshiriki nae live ile nguvu ya uvutano imewakutanisha.
Kinacholala huwa ni mwili lakini roho na nafsi huwa azilali na zinaouwezo wa kusafiri nchi yeyeto na ukafanya kiuhalisia vyote uviotavyo.
Roho ikisafiri ikiwa huko na ikapata jeraha au kutekwa haiwezi tena kurejea kwenye mwili. Kifo usingizini.
Mtu akiwa usingizini usimstue mguse muite polepole.
Roho usafiri kwa kasi zaidi ya sekunde unaweza ukawa USA, Uk, south africa, china kwa usiku mmoja. Sema ni nadra Sana kuzikumbuka ndoto labda tu zile zenye maana au ujumbe maalumu.
 
Sina uhakika, lkn zamani kijijini kwetu tuliaminishana kuwa ukiota unamla demu basi uhalisia ni kuwa wachawi wanakuwa wapo busy wanakushughulikia wewe. Hiyo kukufanya ujihisi unamla demu ni katika kukupumbaza tu!
Hii ni true hata sasa lengo kuu wakupate kichawi kupitia mbegu zako.Ukiota ndoto hizi tayari ushatupiwa uchawi mwilini q jitihada za kuutoa mwilini mwako usikudhuru.
 
Kila siku huwa nawaza sana hili suala!

Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅

Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani.

Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa na nikaenda nae dry

Hakika nili enjoy sana penzi lake huko usingizini.
Umedinya pepo mchafu
 
Back
Top Bottom