Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kujichua ni hatari sana kiroho unakua unashiriki na jini ktk umbo la nyoka, mbwa. Lengo kuu ni kuchukua kuchukua nyota yako, kuchukua uzao wako, kuchukua mbegu zako ambazo ni malighafi kwa Kazi za kichawi, umeshawahi pia jiuliza baada ya uzinzi guest hizo mbegu ulizoacha kwenye dustin zinaenda fanyiwa nini? Wamiliki wengi wa guest ni ajenti.
Mikosi, mabalaa, laana na magonjwa yanapokuandama anga njia zao. Kulala na kahaba au wanaume/wanawake hovyo hovyo ni hatari sana kiroho. Kifua cha kahaba ni lango la kuzimu.
Mikosi, mabalaa, laana na magonjwa yanapokuandama anga njia zao. Kulala na kahaba au wanaume/wanawake hovyo hovyo ni hatari sana kiroho. Kifua cha kahaba ni lango la kuzimu.