Wapo wazungu kwa mamilioni wako vijijini kwao hawajatembelea hata miji mashuhuri na mikuu katika nchi zao.Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia.
Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
Fika Dar hata kuuona tu mji mkubwa zaidi nchini kwako, tayari una exposure ya kutosha so hakuna haja ya kuchukia Dar eti kisa tu kuna wapuuzi walikuwa wanakushangaa kwa sababu hujafika Dar.Mm Familia Yangu Yote Wamefika Na Wengine Wanaishi Dar ,lakini Mm Sijawahi Kufika Tangu Nizaliwe ,ila Kiuchumi Kwasasa Na Safari Za Nje Ya Nchi Hawanifikii Hata Kidogo. Na Sina Ratiba Ya Kwenda Dar,mishe Zangu Hazijanipa Route Hiyo.
Nmefika Angola,congo,zimbabwe,uganda,south Sudan,rwanda,CAR,namibia Nk
Na Sina Stress Za Wanaoshangaa Why Sijafika Dar,kama Sina Ratiba Ya Maana Sitaenda Hadi Nakufa.
Kwaio Ni Vipaumbele Na Mishe Za Mtu,ndio Zinamfikisha Eneo Fulani,
Haitakiwi Uende Maeneo Ya Watu Kuzurura Tu Bila Sababu.
Kuna Watu Wana Uwezo Wa Kuzurura Dunia Nzima Lakini Mishe Zao Haziwapi Access.
Shida Sio Mm,shida Ni Kazi Ndio Zinanipa Safari,napata Muda Mchache Wa Vacation,wa Kuweza Kwenda Kuifahamu Dar.Fika Dar hata kuuona tu mji mkubwa zaidi nchini kwako, tayari una exposure ya kutosha so hakuna haja ya kuchukia Dar eti kisa tu kuna wapuuzi walikuwa wanakushangaa kwa sababu hujafika Dar.