Hivi kumbe kuna watanzania hawajawahi kabisa kufika nchi za nje?

Hivi kumbe kuna watanzania hawajawahi kabisa kufika nchi za nje?

Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia.
Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."
Albert Einstein
 
Back
Top Bottom