Hivi kumbe kuna watanzania hawajawahi kabisa kufika nchi za nje?

Mm Familia Yangu Yote Wamefika Na Wengine Wanaishi Dar ,lakini Mm Sijawahi Kufika Tangu Nizaliwe ,ila Kiuchumi Kwasasa Na Safari Za Nje Ya Nchi Hawanifikii Hata Kidogo. Na Sina Ratiba Ya Kwenda Dar,mishe Zangu Hazijanipa Route Hiyo.
Nmefika Angola,congo,zimbabwe,uganda,south Sudan,rwanda,CAR,namibia Nk
Na Sina Stress Za Wanaoshangaa Why Sijafika Dar,kama Sina Ratiba Ya Maana Sitaenda Hadi Nakufa.
Kwaio Ni Vipaumbele Na Mishe Za Mtu,ndio Zinamfikisha Eneo Fulani,
Haitakiwi Uende Maeneo Ya Watu Kuzurura Tu Bila Sababu.
Kuna Watu Wana Uwezo Wa Kuzurura Dunia Nzima Lakini Mishe Zao Haziwapi Access.
 
Nje kote huko! Kuna watu hata ndege tu hatujawahi kupanda tangu kuzaliwa! Na tupo wengi kweli kweli! Sembuse kwenda nje?

Mimi ndiyo kwanza nimepanga wiki ijayo kuondoa mkosi kwa kupanda ndege kutoka Dar kwenda Iringa.
 
Fika Dar hata kuuona tu mji mkubwa zaidi nchini kwako, tayari una exposure ya kutosha so hakuna haja ya kuchukia Dar eti kisa tu kuna wapuuzi walikuwa wanakushangaa kwa sababu hujafika Dar.
 
Fika Dar hata kuuona tu mji mkubwa zaidi nchini kwako, tayari una exposure ya kutosha so hakuna haja ya kuchukia Dar eti kisa tu kuna wapuuzi walikuwa wanakushangaa kwa sababu hujafika Dar.
Shida Sio Mm,shida Ni Kazi Ndio Zinanipa Safari,napata Muda Mchache Wa Vacation,wa Kuweza Kwenda Kuifahamu Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…