Ngoja wajeKwanza kabisa nipende kujitambulisha,
You can call me King of hearts ♥️
Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia)
Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai
Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu wanasema.
Kuna kitu kimejificha, ndani yako ila utapoteza muda mrefu na wakati mwingine maisha yako yote kukijua. Wengi hudhani life purpose ni nadharia ya kusemekana (illusion)..
Ila trust me, ukofatilia kila kitu humu duniani kiko connected.. (the universe 🌌 is one) so unless you become one with it, you'll be a slave of worldly flashlights.
So nataka niwape mfano, ukianzia kwenye Bible, the story of Moses, the story of Jesus, the story of Jacob, Job, na wengineo. Sio kwamba they had no full control, ila Wali relinquish the need to have control.
Tukija kwa legends, wanasayansi, mwanamuziki, MA athlete, na watu wengine wakubwa. We know they lived according to their natural order of operation.
Sijui alikuwa Gandhi au nani aliishia wahi kuuliza, "what's the one message you want to leave on the world"
Naye alisema, "my life is the message"
So najua nimeelezea kwa uchache sana, ila ni kuwa life destiny yako sio kazi ufanyavyo, sio Umesoma nini, sio unafanya nini, bali ni kwa nini unafanya unacho kifanya... Je, maisha yako ya kila leo yana akisi impact unayoikusudia?
Ni hayo, tu.
Kuna member mmoja napenda msemo wake anasemaga
Live the life you love
Love the life you live.
Ciao
Hapana bado hujaelezea uchache umeelezea kwa kurukaruka yaan kuna vitu unaviandika km unajua na km haujui kwa hio unatuchanganya sisi wasomaji? Sasa sijui itakua ni shida ya uandishi au sifa ya uandishi?So najua nimeelezea kwa uchache sana
Hatutaki makelele yenu kipande hiki zile fyeee fyeee naumia ingia taratibuuu hatuzitaki hizo kelele
Sasa hii Ina faida gani. Au kuthibitisha wewe ndy mwanaume na unalinda mgongo
Na sisi ndio tumefika hili lilibidi liwe gazette refu Robert Heriel Mtibeli akasome nimeshangaa kuona kakipisi kafupi tu, how come?Ngoja waje
Kuthibitisha yeye ni mwanaume na ananunua machuma chuma na vyuma chakavu, misumali mibovu, mafriji mabovu, betrii za gari mbovu, kompresa mbovu, ananunuaSasa hii Ina faida gani. Au kuthibitisha wewe ndy mwanaume na unalinda mgongo
Ni ujinga tu nikajua message za kutishiwa uhai au kutapeliwa watu tujifunze kumbe ni ujinga tu.Kuthibitisha yeye ni mwanaume na ananunua machuma chuma na vyuma chakavu, misumali mibovu, mafriji mabovu, betrii za gari mbovu, kompresa mbovu, ananunua
Huyu Ni member lakini mkuuNa sisi ndio tumefika hili lilibidi liwe gazette refu Robert Heriel Mtibeli akasome nimeshangaa kuona kakipisi kafupi tu, how come?
Umeelewa hata kichwa cha mada?Hapana bado hujaelezea uchache umeelezea kwa kurukaruka yaan kuna vitu unaviandika km unajua na km haujui kwa hio unatuchanganya sisi wasomaji? Sasa sijui itakua ni shida ya uandishi au sifa ya uandishi?
Basi kumbe unasoma kwa expectations? Unataka niandike unavyo taka wewe?Na sisi ndio tumefika hili lilibidi liwe gazette refu Robert Heriel Mtibeli akasome nimeshangaa kuona kakipisi kafupi tu, how come?
Na sisi ndio tumefika hili lilibidi liwe gazette refu Robert Heriel Mtibeli akasome nimeshangaa kuona kakipisi kafupi tu, how come?
Ulipigwa ban kwa kosa gani Chiwawa? 😹Basi kumbe unasoma kwa expectations? Unataka niandike unavyo taka wewe?
Inshort wewe itakuwa hata haujaelewa chochote
Baada ya kukutana na Kiswanglish kwenye huu uzi,nimeamua kukuamini kua mleta mada ndio yule Kijana.Ulipigwa ban kwa kosa gani Chiwawa? 😹