Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage 💆 za wa Thailand 🇹🇠zinachekessha sana
Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. 😂
Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine hakuna kabisa, maana unapigwa nyundo mpaka ukubali..
Nahisi wenye wana fanya bongo massage inabidi wa adapt kabisa.
Hii ndo massage sasa..
Nikienda kutembelea Tahiland, nitahakikisha napita kwa hawa mabibi wanifanyie repair ya mwili mzima.