Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #21
Body to body mwishowe mbaya sana... Mwanaume mwenye hisia lazima ukiwashe. Nikiona mtu anaingia hizo najua lafata k tu.Hiyo ndio Massage sasa sio zile zinatangazwa kwenye mabajaj sijui Full body massage, half body massage au body to body massage huo ni uasherati tu. š¤£
Halafu massage ni therapy lnatakiwa ifanywe kitaalamu maana zile za Uswazi wanakusugua na kukusinga (UNAWEZA UKAPASUKA HATA MISULI) Ukapata hata ugonjwa wa kupooza š¤£
Yes, I do refer practioners kabisa. Yaani ukifanyiwa unatoka uko cleansed kweli, sio unatoka umesha piga mabao na mwili hauna nourishment kabisa.
Kuna moguso kwa ajili ya massage na miguso ya kutiana nyege tu, Sinza ndo utazikuta huko.. š