Mbona hizi Thai Massages hata Bongo zipo ? Haina haja ya kukata tickets go and return kwa ajili ya kufuata Massages tu.Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage π za wa Thailand πΉπ zinachekessha sana
Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. π
View attachment 3697642View attachment 3697643
Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine hakuna kabisa, maana unapigwa nyundo mpaka ukubali..
Nahisi wenye wana fanya bongo massage inabidi wa adapt kabisa.
View attachment 3697646
Hii ndo massage sasa..
Nikienda kutembelea Tahiland, nitahakikisha napita kwa hawa mabibi wanifanyie repair ya mwili mzima.
Yaani njaa ilivyoota mizizi sasa hivi, hata ukienda kufanya scrub tu, wanafosi na ki-massage cha kichwa na shingo mpaka mabegani uwape chochote kitu πHiyo ndo maana halisi ya massage π, sio hizi za wabongo ambao lengo ni kujiuza
Kama upo Dar, nenda pale Kinondoni kabla hata haujafika BAKWATA upande wa kulia (Jina la hii MassageClinic limenitoka), pale ni kazi sio kama massage za Sinza, Mikocheni ambazo mwisho wa siku unaishia kuondoka na gono tu.Nipe mwongozo kamanda nataka nikapigwe nyundo kabisa.
Nataka niufanyie mwili wangu total rehabitation
Wadada washenzi sana, wanadhani kila kitu ni fursa... πYaani njaa ilivyoota mizizi sasa hivi, hata ukienda kufanya scrub tu, wanafosi na ki-massage cha kichwa na shingo mpaka mabegani uwape chochote kitu π
Sawa, I will try... Ni wa Thailand kabisa? Ama wabongo?Kama upo Dar, nenda pale Kinondoni kabla hata haujafika BAKWATA upande wa kulia (Jina la hii MassageClinic limenitoka), pale ni kazi sio kama massage za Sinza, Mikocheni ambazo mwisho wa siku unaishia kuondoka na gono tu.
Wana mafunzo kabisa Kijana wangu na kuna massage za kila aina aisee πSawa, I will try... Ni wa Thailand kabisa? Ama wabongo?
I really need that mkuuWana mafunzo kabisa Kijana wangu na kuna massage za kila aina aisee π
Pale unaenda kupata therapy sio kuvizia mbususu, kuna massage fulani nilifanyiwa miaka 6 iliyopita aisee. Ni hot Stone massage nilikuwa naumwa na mgongo nikawekewa vijiwe mgongoni katikati ya uti wa mgongo na maungio ya mabega mbona niliondoka nimepona? πππ
Sasa massage za Sinza, Mikocheni, Msasani ukitoka mule kesho tu una gono π€£
Bado ile Clinic Massage ipo huwa naiona na inawezekana ikawa ime advance zaidi.I really need that mkuu
Kama wako trained I will go and try..
Sema na wewe unaniambia habari za 6 yrs ago? Nataka current rates.
Nataka hizo za stones kabisa nifanye na cleansing, maana hali si hali..
Sinza, Mikocheni sijui Kinondoni siwezi huko
Kama gari likipata itilafu tunapeleka gereji, ndio hivyo hivyo ata kwa binadamu.Gereji ama sehemu za kupewa tiba ya muda mfupi wakati mwili bado una endelea ku Harbour negative energy?
I know, mkuu... Kwanza pisi zikiona unakatiza zina anza kukuita as if zimeshastukia unataka huduma, binafsi naijua sana..Bado ile Clinic Massage ipo huwa naiona na inawezekana ikawa ime advance zaidi.
Hizo za Mikocheni na Msasani matangazo yake yapo kwenye bajaj kibao hapa Town achana nazo yale ni Madanguro tu π€£
Sawa bwana, ila hospital haifix ubovu inafix hitilafu tu basi. Ubovu wa baggage za emotions pamoja na feelings zinaondolewa kwa practice maalum ya practitionerKama gari likipata itilafu tunapeleka gereji, ndio hivyo hivyo ata kwa binadamu.
Sawa mkuu, ila hiyo massage imekaa unyama sana yaani mpka nyundo mkuu.. πNdio, mwili sharti uutunze, ufanye mazoezi, ucheki afya sio lazima uugue na ule vyakula sawa na mahitaji.
Hiyo ndio Massage sasa sio zile zinatangazwa kwenye mabajaj sijui Full body massage, half body massage au body to body massage huo ni uasherati tu. π€£Sawa mkuu, ila hiyo massage imekaa unyama sana yaani mpka nyundo mkuu.. π
Alafu unavutwa na kunyooshwa kama spoku za baiskeli