Hajapendezwa kumuona uraiani, anataka akamatwe afurahi!Sijelewa lengo la uzi wako hasa ni nini?
Ni hawa wauaji ambao wakiona wanaweza kuwa na chuki na binadamu mwenzao na kutaka apate mateso. Ndiyo furaha yao. Uliona wale polisi waliokuwa wanachapa wananchi waliolala chini kama wanafanya karamu ya furaha? Uliona wale wauaji waliokuwa wanatembea mitaani huko wanapiga watu risasi? Ndiyo type ya mwanzisha thread. Kwa kifupi ni muuaji mwenye kiu ya damu.Sijelewa lengo la uzi wako hasa ni nini?
Huo ukuta hapo ni Magomeni, na hiyo sakafu ni wazi kabisa hapo Ununio.View attachment 3499285huwa ana maneno makali sana dhidi ya watawala hiyo picha kaipost jana uyo mdada mwanahabari
Pamoja na yote mbona hayupo list ya wale 10 most wanted in TZ
Na hiyo saa hapo ni kigamboni kabisaHuo ukuta hapo ni Magomeni, na hiyo sakafu ni wazi kabisa hapo Ununio.
Kwahyo naungana na wewe mwanaizaya hapo ni Dar es salaam, Tanzania.
Tuambie akikamatwa wewe utanufaika vipi?
😂😂😂😂Huo ukuta hapo ni Magomeni, na hiyo sakafu ni wazi kabisa hapo Ununio.
Kwahyo naungana na wewe mwanaizaya hapo ni Dar es salaam, Tanzania.
Tuambie akikamatwa wewe utanufaika vipi?
Nimeshangaa tu kumuona TZNi hawa wauaji ambao wakiona wanaweza kuwa na chuki na binadamu mwenzao na kutaka apate mateso. Ndiyo furaha yao. Uliona wale polisi waliokuwa wanachapa wananchi waliolala chini kama wanafanya karamu ya furaha? Uliona wale wauaji waliokuwa wanatembea mitaani huko wanapiga watu risasi? Ndiyo type ya mwanzisha thread. Kwa kifupi ni muuaji mwenye kiu ya damu.
Yule ni Petro magoti