Duh 🤣🤣🤣Hajapendezwa kumuona uraiani, anataka akamatwe afurahi!
Anakuwaje na jina zuri hivyo halafu ana tabia za ******* ?Yule ni Petro magoti
Kampikie mumeo abduliNi mtaalam wa kujificha juu ya dari huwezi kumuona
Huo ukuta hapo ni Magomeni, na hiyo sakafu ni wazi kabisa hapo Ununio.
Kwahyo naungana na wewe mwanaizaya hapo ni Dar es salaam, Tanzania.
Tuambie akikamatwa wewe utanufaika vipi?
Brother petroAnakuwaje na jina zuri hivyo halafu ana tabia za ******* ?
Uache uongo umemuona TZ lini? Haishi kabisa Tz kwa sasa, anaishi South Africa mwaka wa pili huu hajarudi kabisa Tz.Nimeshangaa tu kumuona TZ
Kati Ya hao kwenye Picha, ni yupi unamzungumzia?View attachment 3499285huwa ana maneno makali sana dhidi ya watawala hiyo picha kaipost jana uyo mdada mwanahabari
Pamoja na yote mbona hayupo list ya wale 10 most wanted in TZ