Hivi kumbe uwanja wa Mkwakwani ni wa CCM?

Kwan hizo stadiums zilijengwa na ccmu?
 
Ukitoa uwanja wa Taifa viwanja vyote CCM imejimilikisha
 
Mkuu unaleta ubishani usio na maana. Maneno niliyosema ni haya "Uwanja wa Manungu ni moja ya viwanja vyenye pitch bora kuliko vyote Tanzania". Nikisema "ni moja ya" ina maana hiyo hiyo na kusema "miongoni".
Neno " kuliko" linaua hiyo "moja ya " it means hakuna kinachozid bali yawezekana kipo kinacholingana nacho
 
Huwa na waza ikitokea upinzani wamechukua nchi hivi viwanja itakuaje,sielewagi kabisa Sisiem yangu walipata wapi pesa kuwa na viwanja vyotee hivii.Hope patachimbikaa!
 
Hawa wakola walipaswa wanyang'anywe hivi viwanja hawajui thamani yake hata kidogo, hivi walipewa na nani hivyo viwanja 🤔🤔
 
Walijiwahi ila kiuhalisia vilitakiwa viwe vya umma.,
 
Ni kwamba kama Nyerere angechukua nchi leo, mali nyingi za wananchi (viwanja kila mkoa) angevitaifisha kutoka kwa huyu Myonyaji Mamboleo
 
Uwanja Wa Jamhuri Dodoma
Uwanja Wa Jamhuri Morogoro
Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid
Uwanja Wa Sokoine
Uwanja Wa Ccm Kirumba

Ni Vingi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…