Hivi kumbe uwanja wa Mkwakwani ni wa CCM?

Uwanja waliochezea Simba na Yanga ni wa kisasa kuliko hata Taifa pale. Nimeona Digital Billboards kama ulaya hadi nikashangaa hivi yule meneja wa Uwanja wa Taifa alikuwa haoni hilo kwenye viwanja vya ulaya?

Yani hadi meneja wa kiwanja cha Tanga huko anaweza kuweka digital advertising boards kiwanjani. Yeye na mapato yote kashindwaje
 
Hahaha
 
Yale itakuwa walileta Azam na sidhani kama waliyaacha pale
 
Dah nimeshtushwa sana nilipokuwa naangalia mechi za ngao ya jamii kuona nembo ya CCM pale uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Sikuwahi kujua ule uwanja unamilikiwa na chama. Kwa hiyo maboresho yote yale ya taa na nyasi yanafanywa na nani?

Jana tena nimeshtuka kumsikia Mkuu wa mkoa wa Morogoro alipokuwa anaongelea kuhamisha mechi ya leo ya Simba na Mtibwa uende uwanja wa Jamhuri akauita "CCM Jamhuri", hili nalo nilikuwa sijui kabisa. Uwanja wa Manungu ni moja ya viwanja vyenye pitch bora kuliko vyote Tanzania.

Nafikiri tunapojadili nini kinakwamisha maendeleo ya michezo nchini, hili nalo la kuangalia.
Vyote mpaka Kibondemaji ni vya CCM.
 
Back
Top Bottom