Hivi kumbe uwanja wa Mkwakwani ni wa CCM?

Uwanja waliochezea Simba na Yanga ni wa kisasa kuliko hata Taifa pale. Nimeona Digital Billboards kama ulaya hadi nikashangaa hivi yule meneja wa Uwanja wa Taifa alikuwa haoni hilo kwenye viwanja vya ulaya?

Yani hadi meneja wa kiwanja cha Tanga huko anaweza kuweka digital advertising boards kiwanjani. Yeye na mapato yote kashindwaje
 
Hahaha
 
Yale itakuwa walileta Azam na sidhani kama waliyaacha pale
 
Vyote mpaka Kibondemaji ni vya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…