Azadirachta
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 171
- 11
We ninong‘oneze tu bwana.....
Aiseee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ninong‘oneze tu bwana.....
Aiseee!
Sure?!
Check it again...
Niangalie wapi??!Nnaowajua wote naamini wanajitambua...hata wale ambao walikua hawajui baadhi nimesaidia kuwaonyesha.Achilia mbali kusikia kwenye redio...wao wanajulishwa uso kwa uso.Muulize mke wako we ni mtu wa aina gani...akiwa mkweli atakwambia hata yale ambayo ni negative kuhusu wewe.Sio mnasifiana tu bila kukosoana wakati makosa yapo!
Kwasababu hamuaminiki!!
Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!
Una hatari wewe!
Hivi akiniambia bwana we hunifikishagi pamoja na kujaribu mambinu yako yote hayo unategemea nini? Hii ndoa itaendelea kuwa ya furaha kama wakati huu anaponisifia kuwa mi ni kiboko, napagawisha?
Sio kila ukweli unajenga Lizzy, mwingine unabomoa...
Ukweli unajenga maana unampa mtu nafasi ya kujirekebisha!!Kwahiyo bora akukenyulie huku kila akiwa na wewe anamuwaza ex wake aliekua anamaliza kila kitu ili angalau asahau unavyompotezea muda wake kwakujifanya unajua kumbe unapapasa tu??!Msipende kusifiwa uongo....sifa za ukweli tu ndo zinaweza kukupa raha.
Kwanini visirekebishike??!Acha kujiendekeza...!Kila kitu na kila mtu ana maximum limit. Inawezekana yeye keshaona kuwa uwezo wa huyu mtu unaishia hapa hata afanyeje, na bado sifiki... (pengine hata mimi nimeliona hilo au hata huyo wako ameliona hilo), lakini anajua kabisa kuwa ndoa sio that easy reversible, kuwa kwa sababu hiyo aniache akatafute mwingine. Na tena kwa busara zake anajua kuwa mapenzi yanaendeshwa zaidi na saikolojia, na siku akitamka kuwa nampapasa tu, hiyo ndo atakuwa ameiweka rehani...
Hapa namaanisha kuwa hata wewe unatakiwa sometimes uone kuwa huyu ni mwenzangu (au mwenzetu), ngoja nimsitiri, na sio kila kitu umwage ukweli, hasa vile unavyojua kuwa haverikebishiki...
Umeona ee! Jamani wanaume badilikeni mkipendwa basi na nyie pendekeni!! Kuweni na huruma jamani watoto wa watu kila siku wanalia, hivi nyie mnajisikiaje?
Sawa dada yangu lakini usiombe nazi kwenye mtende... Usiombe wanaume wabadilike wawe zaidi ya wanaume. Vingine mnavyolalamikia kwa wanaume, vimeumbiwa kwenye uanaume wao, havibadiliki...
Sijiendekezi, but kasoro nyingine ni za kuumbiwa. Uliona wapi waridi isiyo na miiba?
Sipendi wala sifagilii watu wanaopenda kupokea/kutoa sifa tu hata kama kuna kosa.Niambie ukweli nijirekebishe badala ya kunichekea na kunisifia kinafiki huku moyoni unasema angejua.....!
Sijiendekezi, but kasoro nyingine ni za kuumbiwa. Uliona wapi waridi isiyo na miiba?
Na wanaume jifunzeni kuwabeba na kasoro zao, kama unavyoshika waridi na miiba yake...Sasa mbona linashikika na miiba yake.... sembuse nyie kujirekebisha?!! Penye ukweli kubali usitetee tatizo bro!
Kwahiyo ikiwa na miiba ndio????!Miiba ile inatoka na ndo maana yanashikika.Sipendi wala sifagilii watu wanaopenda kupokea/kutoa sifa tu hata kama kuna kosa.Niambie ukweli nijirekebishe badala ya kunichekea na kunisifia kinafiki huku moyoni unasema angejua.....!