Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?
Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!