Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Na wanaume jifunzeni kuwabeba na kasoro zao, kama unavyoshika waridi na miiba yake...
Mnatuhitaji kwa sababu sisi ni wanaume (sawa na sisi tunavyowahitaji kwa sababu mu wanawake), but ukimchukua mwanaume, unachukua package nzima, including madhaifu yake...
Unapenda kuambiwa ukweli? Haya umeyataka mwenyewe sasa usilie. Wewe ka-Lizzy unatakiwa uache ujeuri. Uko kajeuri jeuri sana wewe. Kila kitu unataka ligi isiyo na kombe.
Halafu uache kubana pua. Umesikia? Haya hebu nenda jikoni ukapike cha jioni.
Kwasababu hamuaminiki!!
Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!
Hapana, sitetei madhaifu au maovu yote ya wanaume, but kuna wanawake walalamishi hata kwa vitu vidogo sana, tena vingine wanasababisha wao.Madhaifu? kuwatenda wenzenu kila siku...huh!! Akikupiga ngumi- madhaifu, akikesha baa- madhaifu, akitembea na mwanae-madhaifu, akihamia kwa changu-madhaifu, na hata akiamua kuwa shoga-madhaifu tu yakibinadam. THUBUTUU
wakati watoto wa watu 'hawa' wanalia,watoto wa 'watu' wengine pia wanacheka(najua mkilizwa chanzo kinakuwa ni mwanamke mwingine),sasa hamjioni kama ninyi ndio 'wakare' zaidi koz mnatokea pande zote?yaani mnapiga miguu yote kama ronaldo?adui wa mwanamke ni mwanamke(mwenyewe au mwenzake!)Umeona ee! Jamani wanaume badilikeni mkipendwa basi na nyie pendekeni!! Kuweni na huruma jamani watoto wa watu kila siku wanalia, hivi nyie mnajisikiaje?
Ni maumbile gani hayo we unayoyasema? kutokuwa na huruma kwa wapenzi wenu? Ooh noo....!! by the way, thats not a defence, ebu fikiria kama nyie ndo mngekuwa mnatendwa na kulizwa kila siku mgefurahi tu nakuona ni maumbile yasiyobadilika?
Kwasababu hamuaminiki!!
Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!
Asante baba, naona umeamua kuwafungukia...Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?
Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!
Hahhahhahha...Pipiro asante kwakunipenda mpendwa!!!Na mie nakupenda kwa kunipenda!!Sikufahamu Lizzy lakini nakupenda sijui kwa nini.... Inaonekana nina mapenzi ya dhati kabisa.... Tuwasiliane kama hujaolewa....
Sina hakika Rose, maana mi ni mwanaume, so siwezi kujijaji...
Hata hivyo majibu ya wanawake yalinishangaza, nikajiuliza hivi angehojiwa mke wangu angejibuje?!
Sawa dada yangu lakini usiombe nazi kwenye mtende... Usiombe wanaume wabadilike wawe zaidi ya wanaume. Vingine mnavyolalamikia kwa wanaume, vimeumbiwa kwenye uanaume wao, havibadiliki...
Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?
Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!
Havibadiliki vipi? mnajiendekeza tu wanaume, kututongoza wakati mnajua hamna mpango na sisi unataka ukague then uishie zako. Kwa nini msisubiri tuwatongoze wenyewe? Tena wanaume hawana haya mtaani anaweza tongoza hata wanawake 10 na wakikubali wote anawalala bila wao kujua. Au hata maofisini anatongoza huyu, mara huyu mradi uharibifu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Hilo nalo hamuwezi badilika?
Mnatuumiza na uongo wenu, kama mtu huna mpango nae unamtongoza wa nini? kwani lazima kila unaemtamani umlale? tena kwa mauongo meeeeeeeeeeeeeengi na ulaghai kibao.
BADILIKENI UCHAFUZI TU
Samahani kama kuna niliemkera
Wanakimbilia kusema wanatendwaa!!Hivi wao tu ndo wanaotendwa?au ni ile mkuki kwa nguruwe?Wanawake banaa utafikiri wao huwa ni Malaika
Wanakimbilia kusema wanatendwaa!!Hivi wao tu ndo wanaotendwa?au ni ile mkuki kwa nguruwe?
Kutongoza kwa kudanganya ni characteristic ya mwanaume walioumbiwa nayo, ingawa wengine hawana. Mbona characteristic zingine mnavumilia? Mfano kuwa na ndevu...
kwasababu hamuaminiki!!
Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!