britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #21
HahahaAfadhali hata Ka naibu waziri cha habari Juliana shonza na nina habari yumo humu mwambieni huyo demu namtamanigi sanaa anitafute +751116500 πππ
..πππ njoo inbox nikupe namba yakeAfadhali hata Ka naibu waziri cha habari Juliana shonza na nina habari yumo humu mwambieni huyo demu namtamanigi sanaa anitafute +751116500 πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kwa tulia sasa doohNi vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015
Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo
Britanicca
Wee vipi mkuu wakati mama samiha atakuwa Rais kabla 2020 kwa siku 90 nakuitisha uchaguzi kwa mujibu wa katibaNi vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015
Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo
Britanicca
Liva anachukua uefa tena mwakani ...Mkuu sijawah kupuuzia nyuzi zako huwa naufukuaga nyuzi zako za zamani huwa nabaki mdomo wazi wakat mwingne huwa nahisi Mm tu naishi lipinyapinya huku peramiho wengine wote mnafanya kazi idara nyeti Sana maana kila mnachoongea mda ukifika huwa kweli
Mtarudi tena na uzi huu October 2020
Mkuu sijawah kupuuzia nyuzi zako huwa naufukuaga nyuzi zako za zamani huwa nabaki mdomo wazi wakat mwingne huwa nahisi Mm tu naishi lipinyapinya huku peramiho wengine wote mnafanya kazi idara nyeti Sana maana kila mnachoongea mda ukifika huwa kweli
Mtarudi tena na uzi huu October 2020
That it is ma men nothing elseHii kihisabati ni logic. It make sense
Tulia Ackson ni Mwislam?
-Julius Kambarage Nyerere
-Ali Hasan Mwinyi
-Benjamini William Mkapa
-Jakaya Mrisho Kikwete
-John Pombe Magufuli
-?
Hoja yako ipo wapi?wewe huna hoj kabisa kakojoe ulale
-ASSADTulia Ackson ni Mwislam?
-Julius Kambarage Nyerere
-Ali Hasan Mwinyi
-Benjamini William Mkapa
-Jakaya Mrisho Kikwete
-John Pombe Magufuli
-?
Ajaye ni wajina wa sasa