Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Afadhali hata Ka naibu waziri cha habari Juliana shonza na nina habari yumo humu mwambieni huyo demu namtamanigi sanaa anitafute +751116500 ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hahaha
 
Afadhali hata Ka naibu waziri cha habari Juliana shonza na nina habari yumo humu mwambieni huyo demu namtamanigi sanaa anitafute +751116500 ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ njoo inbox nikupe namba yake
 
tulia akcson akiwa rais mimi nahama nchi,huyo mama hana hata busara akili zake ni sawa na za makonda
 
but 2025 rais lazima awe muislam kati ya makamba au dr.mwiny! but itategemeana na upepo kama 2020 mwinyi atapelekwa kuwa raisi wa zanzibar basi makamba ana nafasi ya kuongoza
 
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo kwa tulia sasa dooh
 
Wee vipi mkuu wakati mama samiha atakuwa Rais kabla 2020 kwa siku 90 nakuitisha uchaguzi kwa mujibu wa katiba
 
Mkuu sijawah kupuuzia nyuzi zako huwa naufukuaga nyuzi zako za zamani huwa nabaki mdomo wazi wakat mwingne huwa nahisi Mm tu naishi lipinyapinya huku peramiho wengine wote mnafanya kazi idara nyeti Sana maana kila mnachoongea mda ukifika huwa kweli

Mtarudi tena na uzi huu October 2020
Liva anachukua uefa tena mwakani ...

Mi nipo idara nyeti ya uefa ..

Teh ...
 
Sio October 2020 maana tayari inajulikana ni Magu.
Rudia kwenye hatua za kumsaka mgombea was ccm 2025 ukijaaliwa uzima
Mkuu sijawah kupuuzia nyuzi zako huwa naufukuaga nyuzi zako za zamani huwa nabaki mdomo wazi wakat mwingne huwa nahisi Mm tu naishi lipinyapinya huku peramiho wengine wote mnafanya kazi idara nyeti Sana maana kila mnachoongea mda ukifika huwa kweli

Mtarudi tena na uzi huu October 2020
 
Bora nchi wachukue waislam maana wana moyo wa uluma sisi wakatoriki cjui tunakwama wapi? Roho za kinaa,chuki ghiliba ata sielewi tuna tatzo gani yani kiongozi anapewa mamlaka anataka anao watawala walimie meno? Matajili waishi kama mashetani kweli? Hapana bwana nafkl twende na January makamba 2020 uzuri ametokea kagera kwa mama yake na ata gongo amewai kuuza pale kyaka japo baba yake ni mtu wa Tanga na mwislamu pure ila uyu anaweza kubalance nusu mwislamu nusu mkatoriki.
 
Ajaye ni wajina wa sasa

2025 nitagombea it doesn't matter if nina mvuto, ushawishi au la. Kitaeleweka tu.

Sasa wewe wadai wajina ndiye ajaye๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿš˜
Soine yuaja!!!!
 
Back
Top Bottom