Hivi kumbr ule utaratibu wa kanisa katoliki ulikuwa serious!

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
527
Reaction score
677
Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Aliondoka kama mimi nilivyoondoka baada ya misa kumalizika! 💪💪
 
Asa mtu unatumia I'd fake bado unashindwa hata kutaja jina la eneo au chochote kile ili hali habari uliyoleta haina uhatari wowote dah!!
 
Kwa hiyo unawasimanga walokoke na Gwajima wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…