Wewe unapaswa kua na elimu kwamba kila nchi inatumia currency yake huwezi kuweka SI unit ya milionaire kwenye fedha ya kigeniKampe elimu kuwa mtu anaitwa milionea endapo ana utajiri wenye thamani kuanzia dola za kimarekani milioni moja. Ambayo ni sawa na zaidi ya bilioni moja za kitanzania.
Furaha ya moyo huleta ujasirWakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Kuna ubaya gani?! Kwani hizo ni nini?Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Anaitwa elfuonea!Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Mbona hela ya mboga ? Hizo. Watu wanashika km akiba tu , haoo atanywea via Kwa anavyoonekana. Kwa mkopo was mil 100 + ni kawaida sana ... Kuanzia mil 500+ labda ndio afikirie kujiita milioneaWakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Subiri ntakwambia uje tuzitwange tukule bataaa mpk kuku waogopenipo nimeja tele japo ka wivu kapo pale pale
lini unachukua na wewe mkopo
Kwa mantiki hiyo Zimbabwe in mamilionea wngi zaidi duniani............Hujui kitu wewe..eti milionaire awe na utajiri wa bilion moja utakuaje na Bilion 1 halafu bado tukuite milionea unachekesha kweli..milionea ni yule anayemiliki kuanzia milion 1 mpk milion 999..Bilionea ni yule anayemiliki kuanzia bilion moja
Kwani neno millionea linazaliwa kutoka kwenye term gani?Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Mkuu nina elimu yangu kichwani najua ninachokiongea unachotakiwa kujua ni kuwa kila nchi ina currency yake huwezi kuitwa milionea kwa kuconsider fedha za kigeni no matter kwamba eti local currency ina thamani ndogo..Ni kweli millionea wa marekani kwa USD ni akija Bongo hapa anakuwa ni Billionea but hiyo sio factor ya kusema eti ukiwa na Million moja Tshs sio millionea kwa ufupi cheki hapa....Duh usiongee bila research. Umenisikitisha sana ubishi wa kijinga.
Upo sahihi lakini ,USD ni kipimo halisi na maarufu au reference maaa thamani ya fedha zetu ni ndogo na imeshuka thamani sana ,assume tuna note ya elf 10 . dola moja au ksh 1 inanunia city vingi zaii yetu......Mkuu nina elimu yangu kichwani najua ninachokiongea unachotakiwa kujua ni kuwa kila nchi ina currency yake huwezi kuitwa milionea kwa kuconsider fedha za kigeni no matter kwamba eti local currency ina thamani ndogo..Ni kweli millionea wa marekani kwa USD ni akija Bongo hapa anakuwa ni Billionea but hiyo sio factor ya kusema eti ukiwa na Million moja Tshs sio millionea kwa ufupi cheki hapa....
"A millionaire is an individual whose net worth or wealth is equal to or exceeds one million units of currency. It can also be a person who owns one million units of currency in a bank account or savings account. Depending on the currency, a certain level of prestige is associated with being a millionaire, which makes that amount of wealth a goal for some and almost unattainable for others." Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Millionaire
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Funga kazi!!"A millionaire is an individual whose net worth or wealth is equal to or exceeds one million units of currency. It can also be a person who owns one million units of currency in a bank account or savings account. Depending on the currency, a certain level of prestige is associated with being a millionaire, which makes that amount of wealth a goal for some and almost unattainable for others." Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Millionaire