Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Kampe elimu kuwa mtu anaitwa milionea endapo ana utajiri wenye thamani kuanzia dola za kimarekani milioni moja. Ambayo ni sawa na zaidi ya bilioni moja za kitanzania.
Wewe unapaswa kua na elimu kwamba kila nchi inatumia currency yake huwezi kuweka SI unit ya milionaire kwenye fedha ya kigeni
 
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Furaha ya moyo huleta ujasir
 
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Kuna ubaya gani?! Kwani hizo ni nini?
 
siku wakija kumdai basi atajua kuwa yeye ni millionea au bukuonea
 
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Mbona hela ya mboga ? Hizo. Watu wanashika km akiba tu , haoo atanywea via Kwa anavyoonekana. Kwa mkopo was mil 100 + ni kawaida sana ... Kuanzia mil 500+ labda ndio afikirie kujiita milionea
 
kuna wengine ni lakionea
hawapo kwenye trili, mili wala bili.
 
Hujui kitu wewe..eti milionaire awe na utajiri wa bilion moja utakuaje na Bilion 1 halafu bado tukuite milionea unachekesha kweli..milionea ni yule anayemiliki kuanzia milion 1 mpk milion 999..Bilionea ni yule anayemiliki kuanzia bilion moja
Kwa mantiki hiyo Zimbabwe in mamilionea wngi zaidi duniani............
 
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Kwani neno millionea linazaliwa kutoka kwenye term gani?

Ninavyoelewa mimi, umillionea ni kumiliki fedha kiasi cha vimillioni kadhaa.
Yaani zaidi ya millioni1.

Hayo ya kusema sijui Dollar, sijui nini ni dhana tu, ni kutska kupotosha maana ya neno lenyewe.

Hizihizi za madafu ndiyo millioni zenyewe. Huyo jamaa yako wa kihaya ni millionea halisi, mpe heshima yake.
 
Duh usiongee bila research. Umenisikitisha sana ubishi wa kijinga.
Mkuu nina elimu yangu kichwani najua ninachokiongea unachotakiwa kujua ni kuwa kila nchi ina currency yake huwezi kuitwa milionea kwa kuconsider fedha za kigeni no matter kwamba eti local currency ina thamani ndogo..Ni kweli millionea wa marekani kwa USD ni akija Bongo hapa anakuwa ni Billionea but hiyo sio factor ya kusema eti ukiwa na Million moja Tshs sio millionea kwa ufupi cheki hapa....

"A millionaire is an individual whose net worth or wealth is equal to or exceeds one million units of currency. It can also be a person who owns one million units of currency in a bank account or savings account. Depending on the currency, a certain level of prestige is associated with being a millionaire, which makes that amount of wealth a goal for some and almost unattainable for others." Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Millionaire
 
Upo sahihi lakini ,USD ni kipimo halisi na maarufu au reference maaa thamani ya fedha zetu ni ndogo na imeshuka thamani sana ,assume tuna note ya elf 10 . dola moja au ksh 1 inanunia city vingi zaii yetu......

Kama ni hivo. Zimbabwe kila MTU ni milionea ....lakini si hivyo .

Ukifika 1 million USD we we ni milionea halisi

Ukiwa na hata milioni 100 we we sio milionea .

Sasa mkuu milioni 10 ya Tanzania hainunui hta gari standard . hata Kiwanja cha kubahatisha nnje ya mji,are you a millionaire?.

Sera ya mandeleo inatambua MTU wenye mtaji wa mil 1 hadi mil 200 ni mfanyabashara mdogo , mil 201- 700mil ni wakati ,sasa mil 10 utakuwaje milioea.

Wafanyakazi ote wanaopata mshahara mil 1 kwenda juu ni mamilionea ?

NB: Net worth = Asset -liabilities .

Sasa huyo ana liability 10mil , hip sio pesa yake na bado Non income generating cash
 
Back
Top Bottom