Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Mimi namiliki Us Dola 2500. Sijui nipo kwenye kundi lipi
 
Ngoja nipambane nifikie hiyo 1m dola
Akijiita hamna tatizo[emoji23][emoji23][emoji23].

Ila ili uwe millionaire inatakiwa mali zako ziwe na thamani ya kwanzia 1M (dollars or Pounds).
 
Kampe elimu kuwa mtu anaitwa milionea endapo ana utajiri wenye thamani kuanzia dola za kimarekani milioni moja. Ambayo ni sawa na zaidi ya bilioni moja za kitanzania.
Tena ni zaidi ya Tsh. Bil 2 na ushee kwa exchange ya sasa hivi.
 
Sitanii kabisa mamii, sitaki dharau mtaani nimeamua kupaa kabsaa na na mwanga niendako ni dhahiri
Hebu tusitesana coz I will find something cute on you like " oooh you have a cute shadow ".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitanii kabisa mamii, sitaki dharau mtaani nimeamua kupaa kabsaa na na mwanga niendako ni dhahiri
Nakuombea sana. Kwani ninaamini ukifanikiwa wewe na Mimi nitafanikiwa. Haujawahi kuniangusha.
 
Back
Top Bottom