Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera bana kwa kumiliki Terios Kid ama Cami mzee baba. Cha muhimu umekalia chombo cha moto, mwamuzi mkojo wa Mwarabu😆
Kama ana hela unataka atumie Passo? Jirani yetu ana Ford Ranger la nguvu anaenda nalo job na kurudi mkewe landcruiser Prado,watoto wao wanasoma shule za kishua.Ananipa hamasa ya kutafuta hela kwa juhudi zoteUnakuta mtu ana Nissan navara anaendea kazini
Usipokuwa na hela Kila anayetumia hela unaona Kama anachezeaKesho utatuambia wanaojenga magorofa hawana akili kwasababu wanalala chumba kimoja tu!
Watu wanaoendesha magari ya Bei mbaya Ni wastaraabu Sana hata kwa watembea kwa miguu wanapovuka Barabara.Ila Sasa uje kwa bodaboda bajaji na hako kapasso jamaa Wana fujo balaaa ukitaka kuvuka tu unapigiwa taa full.Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Hiyo siyo Forest kweli?Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.
Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.
Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku chini ana gum boots jua kalii.
Hapo hapo kwa Hayati "Patel" na mwanae "Dogo"
Moro shule inaitwa FOREST HILL ndio enzi hizo kulikua na kufuru za wanafunzi wa namna hiii.Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.
Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.
Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.😂😂😂😂😂😂😂😂 huku chini ana gum boots jua kalii.
Haswa ndio hapo hapo!Moro shule inaitwa FOREST HILL ndio enzi hizo kulikua na kufuru za wanafunzi wa namna hiii.
Umaskini mbaya sana. Kuna nchi jirani kusini mwa TZ mwananchi aliamua kujinunulia zake bugatti veyron.Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Moro shule inaitwa FOREST HILL ndio enzi hizo kulikua na kufuru za wanafunzi wa namna hiii.
sijui kama kwa TZ kuna shule ilishawahi kuwa na aina ile ya wanafunzi,sijui kwakweli.Hii shule isikie tu. Vijana wengi wamefanyiwa recruitment hapo. Kuna waalimu pale ambao kazi yao kubwa ilikuwa kuwamentor vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia wewe ndio mjinga prado ni private car huwez mpangia mtu matumiz ikifika desemba mtu anaenda nalo mpaka kijijin kwao akihitajika dodoma anaenda nalo akaenda mbugan anaenda nalo kuna watu wananunua peni ya almas billion 1 sio km hajui pen zinauzwa 500 chin anachotaka kuonesha ni ufahar wa kitu hadh yke ikojeToyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Kibongo bongo hata simu ni status symbol! Hatari mtupu!Kumiliki hio gari yeyote ni mfuko wako tu. A car is a status Symbol hasa kwetu kibongo bongo humu😁