Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Watu wanaoendesha magari ya Bei mbaya Ni wastaraabu Sana hata kwa watembea kwa miguu wanapovuka Barabara.Ila Sasa uje kwa bodaboda bajaji na hako kapasso jamaa Wana fujo balaaa ukitaka kuvuka tu unapigiwa taa full.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.

Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.

Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku chini ana gum boots jua kalii.
Hiyo siyo Forest kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.

Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.

Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.😂😂😂😂😂😂😂😂 huku chini ana gum boots jua kalii.
Moro shule inaitwa FOREST HILL ndio enzi hizo kulikua na kufuru za wanafunzi wa namna hiii.
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Umaskini mbaya sana. Kuna nchi jirani kusini mwa TZ mwananchi aliamua kujinunulia zake bugatti veyron.
Wananchi kwa sababu ya njaa na ukata wakapiga kelele kwenye mitandao kwa nini jamaa kanunua gari ya bei mbaya wkt wao wana njaa😅😅😅
 
Swali tatanishi sana, ni kama jirani yangu BunjuB, ana bonge la ghorofa huku na lingine Znz, mke yupo Dom Mme Znz, mtoto mmoja na keshaondoka home anajitegemea...
Wana Hayo magari na nini...
Nafikiri swala ni choice na uwezo, I am not the one to judge matumizi ya mtu aliyejitafutia mwenyewe na kwa nguvu zake..
 
Binafsi, naamini magari yametengenezwa ili kutusaidia kufanya movements kutoka eneo A kwenda eneo B "Comfortably". Sasa, hapo kwenye "Comfortability ndio hupelekea watu huamua tofauti.
 
Kumiliki hio gari yeyote ni mfuko wako tu. A car is a status Symbol hasa kwetu kibongo bongo humu😁
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Sikia wewe ndio mjinga prado ni private car huwez mpangia mtu matumiz ikifika desemba mtu anaenda nalo mpaka kijijin kwao akihitajika dodoma anaenda nalo akaenda mbugan anaenda nalo kuna watu wananunua peni ya almas billion 1 sio km hajui pen zinauzwa 500 chin anachotaka kuonesha ni ufahar wa kitu hadh yke ikoje
 
Back
Top Bottom