Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwenye kurudiana haina cha kuachana vipi.Inategemea Na x wako Na mliachana vip
Haujasikia juzi huko India, kijana alimmwagia tindikali mpenzi wake, kamharibu kabisa sura na akafungwa.
Alipotoka jela akaja akamuoa huyo huyo aliyemlemaza, msichana alipokubali kuolewa na huyo katili, wazazi wake walisusia ndoa hiyo kwa hasira.
Cha muhimu ni kutotafutana, ama kama alivyofanya huyo msichana kublokiana ili kuzuia kuanza mbwembwe na kudanganyana kwenye masimu na mwisho kurudiana.