Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwenye kurudiana haina cha kuachana vipi.Inategemea Na x wako Na mliachana vip
Mie na ma EX wangu ni kama chanda na pete ππHizi dalili leo umelala mwenyewe wote uliowatext leo wamekukataa.
Kama mmeachana vizuri salama sio mbaya na kama mpo matured, maana sio kila mahusiano yadumu mahusiano mengine ni darasaKwenye kurudiana haina cha kuachana vipi.
Haujasikia juzi huko India, kijana alimmwagia tindikali mpenzi wake, kamharibu kabisa sura na akafungwa.
Alipotoka jela akaja akamuoa huyo huyo aliyemlemaza, msichana alipokubali kuolewa na huyo katili, wazazi wake walisusia ndoa hiyo kwa hasira.
Cha muhimu ni kutotafutana, ama kama alivyofanya huyo msichana kublokiana ili kuzuia kuanza mbwembwe na kudanganyana kwenye masimu na mwisho kurudiana.
duh! Sio kweli mkuu.. mie ma Ex wote nipo nao close sana na nina heshimiana nao sana, na wamekuwa msaada kwangu hata kipindi nipo blocked unakuta namcheki anaokoa jahazi nao pia.. na tukikutana tunaongea mambo ya mazuri tu, hakuna cha good times za zamani sijui nini maana hayo ndio unakaribisha shetaniUpuuzi tu kuwa na namba za ex wako kama lengo lilikuw mapenzi na sasa hakuna mapenzi sasa salamu za nini kama sio upopoma!
Kuachana sio vita na mara nyingi kuonesha ukomavu hutakiwi kuweka bifu na x wako sababu ipo siku mtahitajiana kwa namna moja ama nyengine. Labda huyo X awe mshamba wa maisha.Kama mmeachana vizuri salama sio mbaya na kama mpo matured, maana sio kila mahusiano yadumu mahusiano mengine ni darasa
We jombaa ukute manzi ulimuacha kwa matusi na tashtiti na kumringishia pisi mpya mkapotezeana kibabe.Mimi: Mambo vipi Rose?
Rose: Salama! naona leo umenikumbuka?
Mimi: Yes, upo salama ?
Rose: Mhhh, baada ya muda wote huo kunikaushia leo upo na nyege zako ndo unanitafuta?, Now naendelea vyema na maisha yangu na sitaki kurudiana na wewe.
Mimi: Rose sikia, mimi sijahitaji kurudiana na wewe nimekutafuta kukujulia hali kwani sina uadui na wewe na leo nimekumbuka those memories we had those time.
Rose: Sawa bhana, Rose alikata simu yake na block nikapata.
Waungwana hivi kuna tatizo kumjulia hali Ex-wako?
Hapa nimemaka na mood kishenzi na EX wangu mmoja, leo lazima nitoke nae out.. nime miss tabasamu lake na macho yake legevu.. acha nianze mpanga akitoka kaziniKuachana sio vita na mara nyingi kuonesha ukomavu hutakiwi kuweka bifu na x wako sababu ipo siku mtahitajiana kwa namna moja ama nyengine. Labda huyo X awe mshamba wa maisha.
Mpange tu wala haina shida hasa kwa sie tunao date na mademu wenye roho za kitasha huwa hamna beefs.Hapa nimemaka na mood kishenzi na EX wangu mmoja, leo lazima nitoke nae out.. nime miss tabasamu lake na macho yake legevu.. acha nianze mpanga akitoka kazini
πππ kwanza hata sio kumpanga, namuambia leo tukutane, utasikia sawa papa in A voice, on time.. alafu hapa nagundua ma Ex zangu karibia 99.9% majina yao yanaanza na herufi A. π¬π¬Mpange tu wala haina shida hasa kwa sie tunao date na mademu wenye roho za kitasha huwa hamna beefs.
Hongera sana mzee baba hapindui huyo sema usimle tuππππ kwanza hata sio kumpanga, namuambia leo tukutane, utasikia sawa papa in A voice, on time.. alafu hapa nagundua ma Ex zangu karibia 99.9% majina yao yanaanza na herufi A. π¬π¬
πππ EX haliwi aseee.. ex anadekewa tu kama mamaHongera sana mzee baba hapindui huyo sema usimle tuπ
Hahahahah mwisho wa kumdekea sasaππππ EX haliwi aseee.. ex anadekewa tu kama mama
Mwisho wa kudeka ni kudekeana maana nae anapenda kunidekea papa wake.. maana uzuri yeye yupo single bado na mie bado nipo single πππππ sema hatulani sasaHahahahah mwisho wa kumdekea sasaπ
Eeh kwa macho ya nyama hamlani ila jicho la kiroho mnatafunana kimasiharaMwisho wa kudeka ni kudekeana maana nae anapenda kunidekea papa wake.. maana uzuri yeye yupo single bado na mie bado nipo single πππππ sema hatulani sasa
πππ hapa nachart nae anafurahii, kumbe nae toka asubuhi amenikumbuka.. ma EX wadumu kwakweli wanaokoa sana hasa nyakati kama hizi za mwisho wa mwakaEeh kwa macho ya nyama hamlani ila jicho la kiroho mnatafunana kimasihara
π π π π π π aisee kuna namna hapoπππ hapa nachart nae anafurahii, kumbe nae toka asubuhi amenikumbuka.. ma EX wadumu kwakweli wanaokoa sana hasa nyakati kama hizi za mwisho wa mwaka
πππ Mie siwezi mletea jeuri ex wangu asee.. wananijua vizuri. Ogopa mtu ambae umelala nae uchi wa mnyama, amekutunza na ameficha aibu yako na madhaifu mengine.. Kwangu ma Ex ni watu special sanaπ π π π π π aisee kuna namna hapo