Hawawashindi wakina Neema.. hivi unajua mwaka huu wakina neema wamesababisha hadi vifoSema akina rose hua wanajionaga sana.
Ila hakuna dhambi kumtafuta ex
Lakini unamtafuta unatafuta nini kwake? Mengine mjiongeze.
Kwa kweli manTafuta pesa kijana, kabla hujampigia anatakiwa aone 500k kwenye muamala wake uone kama hajakutafuta mwenyewe
[emoji1787][emoji1787]Hizi dalili leo umelala mwenyewe wote uliowatext leo wamekukataa.
Nami pia nakubaliana na wewe kwa sababu zile good time memories ukizikumbuka bado upendo kwake unakuwepo japo sio wa kimapenzi.Kwenye mathematics hua kuna kitu kinaitwa "theory of incompleteness" hua ina-apply pia kwenye mapenzi.
Kiufupi penzi hua haliishi kabisa, na hata wale wataalamu wa masuala ya kiroho watakubaliana nami...
Je yeye akikuanzishia hizo habari kiujanja ujanja utamtolea nje?duh! Sio kweli mkuu.. mie ma Ex wote nipo nao close sana na nina heshimiana nao sana, na wamekuwa msaada kwangu hata kipindi nipo blocked unakuta namcheki anaokoa jahazi nao pia.. na tukikutana tunaongea mambo ya mazuri tu, hakuna cha good times za zamani sijui nini maana hayo ndio unakaribisha shetani
Ushauri wako mtamo nimecheka sana wakati nikiusoma. ThanksLipo tatizo ndiyo.
Umekuta kasichana kajanja wachaa!
Kabla haujajieleza kakakupashua, huyo mkamwana wangu yupo vizuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!
Ukweli ni kwamba, bila ya msukumo wa kimapenzi, na kumbukizi ya ngono uzembe, hauwezi hata siku1 kuanza kuhangaika kuunguza vocha kumpigia X wako.
Amekuwa ni ndugu yako umjulie hali?
Ujinga ujinga wa namna hiyo ndiyo huwa ni chanzo cha kufanya watu warudiane bila kujali waliachana kwa taathira kiasi gani mpaka walimwengu wanachwa vinywa wazi na kubakia tu kusema.." wapenzi wagombanapo..."!
Penzi lililofubaa lipo mfano wa uraibu wa sigara halifai kuchokozwa, likiguswa linaripuka na kuripuka!
Unaambiwa uraibu wa sigara unamtesa sana mtu anapoacha kuvuta.
Sasa kama ameshinda majaribu hayo, basi mtu huyo asije akajaribisha kuweka sigara mdomoni kamwe, akijaribu atarudi kwenye uraibu wake haraka sana, tofauti na mtu ambaye hajawahi kuvuta!
Na kwa suala la mapenzi ni hivyo, ukianza tu kumpigia simu, tayari hapo unakuwa umepata msukumo, hasa kwenu vijana, alfajiri "kitu" kinasoma hadi kinakuuma na hauna pa kushika, kwanini usimpigie simu kumbembeleza huyo x wako?
Nani anakuwa kakukataza?
Msichana mjanja kakutolea nje kakuweza kweli, mbona pole?
Lakini sasa usimkatie tamaa, kama umemmiss na unahisi kumpenda kisawa sawa, achana na hii misimu, mtokee live piga naye stori muweke mambo yenu sawa, umtangazie nia na umuoe kabisa kumkata ngebe zake!
Dah!
[emoji848]Mkuu kwa hiyo unataka kusema , kuoa single mother ni hatari kwa afya
Naona wewe hutaki nifunge mwaka kwa amani[emoji1787]Muulize Baba yako
ππ Mkuu mahusiano na maisha ni msingi. Inatakiwa kuangalia na akili ya mtu, lakini mipaka muhimu sanaJe yeye akikuanzishia hizo habari kiujanja ujanja utamtolea nje?
[emoji1787]Mie na ma EX wangu ni kama chanda na pete [emoji16][emoji16]
[emoji120]Get busy bro...
Swala sio kupigiwa, kesi ntaifungua wakitaka kurudisha uhusianoMfano, ukiwa umeoa utaona Ni sawa mkeo kupigiwa simu na X wake?
Kwan ulimkuta no bikra?duh [emoji25] ivi dem wangu ni x wa mtu?
mbona ivo jmn...
Huniambii kitu kwa ma ex wangu, ni bora nimuache ambae ninae nae awe ex kuliko kumzingua ex wangu.. nawapenda sana wana tuzo zao kwangu πππ[emoji1787]