Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Mi sipend urafik na ex wangu, Ila ananilazimisha anabadili namba ananitafuta, leo kanipigia simu, ya rafiki Fulani nikaongea naye anaomba tuonane, anatumia watu wanitafute wamempa namba, anatuma watu wamekuja kuomba namba kijanja home, wakat aliniacha kwa kashfa kibao, bado kidogo niazishe Uzi watu wanishauri, mi sipend Ila mapenz sio Vita.
 
Mi sioni haja kwa kweli na kama ni hizo salamu salimia ndugu au hata wapangaji wenzio huko inatosha sababu kukaribisha vimeseji meseji mwisho wa siku uzalendo ukikushinda utaomba mkumbushie.

Bora dada wa watu kajiwahi kwamba hataki kurudiana nawe. πŸ˜€
 
Kijana isije ikawa umemchanganya na wangu maana initial yake ni A kama wakwako hao
😁😁😁 ila kwangu ni ex tu, haina shida wala hatulani.. mcheki ratiba yake ya leo jioni kama ipo tight basi ujue tutakuwa tunadekeana
 
Rafiki sio vizuri, salama tu.. wengine mika na miaka ma ex fresh tu wala hamna kukumbushia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…