Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ni sahihi kabisa unachosema HMAseee.. wewe mkali sana asee.. ujue unaweza. kuta mtu mmeingia kwenye mahusiano ili mfundishane mambo flani tu na yakawa na faida kwenu wote, baada ya hapo mkiachana bado mnaweza mkawa part ya ile faida
Kwangu mimi nina kanuni moja tu..Mtu aliyekaribu yangu awe Rafiki/Marafiki wakiondoka nina amini kazi yake kwangu au kazi yangu kwake Imeisha... Hivyo niache nafasi kwa wengine waje pia..
EX akiondoka au nikiondoka na amini kile alipaswa kufanya au kumfanyia tayari amekamilisha au nimekamilisha...Kama ni jambo zuri likamfae kwa baadaye au linifae kwa baadaye/wakati huo..Period..
Sent using Jamii Forums mobile app