Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Aseee.. wewe mkali sana asee.. ujue unaweza. kuta mtu mmeingia kwenye mahusiano ili mfundishane mambo flani tu na yakawa na faida kwenu wote, baada ya hapo mkiachana bado mnaweza mkawa part ya ile faida
Ni sahihi kabisa unachosema HM

Kwangu mimi nina kanuni moja tu..Mtu aliyekaribu yangu awe Rafiki/Marafiki wakiondoka nina amini kazi yake kwangu au kazi yangu kwake Imeisha... Hivyo niache nafasi kwa wengine waje pia..

EX akiondoka au nikiondoka na amini kile alipaswa kufanya au kumfanyia tayari amekamilisha au nimekamilisha...Kama ni jambo zuri likamfae kwa baadaye au linifae kwa baadaye/wakati huo..Period..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙄🙄 Upo sahihi ni standard nzuri kabisa, ila mie hakunaga kuachana, na nilie nae wa mwisho nae akiwa ex nasubiri ex atae achika namuoa au ndio nakae nae, sijawa kwanza ma ex wangu huwa nawaita mama zangu wanafurahi kweli kweli.. huenda mie na wenzangu ex ndio tuna akili za hivi na hakuna ambae imetokea kulana hata kima sihara japo ukikutana utani na masiahara unaweza jua tunakulana wakati. mwingine hata unakuta tunatoka na beba kabisa na pochi. ujue pia namna ambavyo mlikuwa mnaishi kipindi wapenzi ndio kunaleta picha mtavyo ishi ikitokea meachana
 
Hapana, ukiona kuna dharau block hapo hapo. Cha kwanza ni heshima, adabu na nidhamu. Ukiona hivyo havipo basi haifai huyo ex awe karibu yako. Mnaweza haribu mnacho jenga.. mie niseme wazi hakuna EX wangu ambae hatupo nae karibu wote tupo nao close kishenzi na huwa nawakumbusha hata promise zangu na zingine huwa nazifanya ila pia nina heshima sana kwao nao pia wana heshima sana kwangu.. hatujawai kulana zaidi ya hug tu tukiwa out [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba hamjawahi kulana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.. Sawa Bwana..Nayo si ni life[emoji23][emoji23]
Halafu Inaonekana hiyo list yako ni ndefu mno Mzee Baba[emoji23]

Kublock mimi nilishashindwa aisee.. nina kanuni yangu moja sitotaka niiseme.[emoji28][emoji28]

Madharau kwa Ma EX hayakosekani HM..Maana atatafuta sehemu ya kukukwaza tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi kabisa unachosema HM

Kwangu mimi nina kanuni moja tu..Mtu aliyekaribu yangu awe Rafiki/Marafiki wakiondoka nina amini kazi yake kwangu au kazi yangu kwake Imeisha... Hivyo niache nafasi kwa wengine waje pia..

EX akiondoka au nikiondoka na amini kile alipaswa kufanya au kumfanyia tayari amekamilisha au nimekamilisha...Kama ni jambo zuri likamfae kwa baadaye au linifae kwa baadaye/wakati huo..Period..

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mtu wa kwenye avatar yako hair style yake imefanana kweli na ex wangu mmoja.. nitamcheki mwakani nimuone na roho yangu ifurahi, japo katika ma ex wangu yeye naona now days ananipiga sana kiswahili kukutana ana visababu vingi vingi hadi nimbane au niende ofisini kwake ndio tuonane
 
Kwamba hamjawahi kulana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.. Sawa Bwana..Nayo si ni life[emoji23][emoji23]
Halafu Inaonekana hiyo list yako ni ndefu mno Mzee Baba[emoji23]

Kublock mimi nilishashindwa aisee.. nina kanuni yangu moja sitotaka niiseme.[emoji28][emoji28]

Madharau kwa Ma EX hayakosekani HM..Maana atatafuta sehemu ya kukukwaza tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁 Mie sina ma ex wangi hata 1, 2, 3, 4, 5, 6 na aliepo wa saba tu 😁😁😁

hatulani kabisa, mwiko mwiko kula ex.. si ndio maana nimesema ukiona ex ana dharau mkatae kabisa.. kama anakosa heshima kwa mtu wako hata wewe hakuheshimu
 
huyo mtu wa kwenye avatar yako hair style yake imefanana kweli na ex wangu mmoja.. nitamcheki mwakani nimuone na roho yangu ifurahi, japo katika ma ex wangu yeye naona now days ananipiga sana kiswahili kukutana ana visababu vingi vingi hadi nimbane au niende ofisini kwake ndio tuonane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kwa Mawasiliano hayo Wanakuwa hawajapata watu jamani?
Wewe mtu anakupiga Kiswahili unapaswa kumuelewa... hataki kuendekeza Mazoea na EX[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kwa Mawasiliano hayo Wanakuwa hawajapata watu jamani?
Wewe mtu anakupiga Kiswahili unapaswa kumuelewa... hataki kuendekeza Mazoea na EX[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁 itakuwa kajazwa maneno na watu kuhusu ubaya wa ma ex.. ila mwanzo ilikuwa lunch time nampitia nampelekea mahala anakula namrudiasha ofisini kipindi u ex bado mpya mpya kabisa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mie sina ma ex wangi hata 1, 2, 3, 4, 5, 6 na aliepo wa saba tu [emoji16][emoji16][emoji16]

hatulani kabisa, mwiko mwiko kula ex.. si ndio maana nimesema ukiona ex ana dharau mkatae kabisa.. kama anakosa heshima kwa mtu wako hata wewe hakuheshimu
Unajua Issue siyo kukosa heshima..kuna yale maneno anaweza akaongea tu..Ili uone ulipo siyo sahihi..

Mbali na hayo mazoea pia yanaweza kumfikirisha bado ni wa Muhimu sana na huyo uliyenaye hakutoshelezi ndiyo maana huachi kuwasiliana naye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] itakuwa kajazwa maneno na watu kuhusu ubaya wa ma ex.. ila mwanzo ilikuwa lunch time nampitia nampelekea mahala anakula namrudiasha ofisini kipindi u ex bado mpya mpya kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti U EX bado mpya mpya..[emoji23][emoji23]Huna akili..
Hiyo moment ya U EX Mpya mpya hata kumuona Unajaribu kuepuka maana bado vidonda vinakuwa vibichi..
Atakuwa kapata Mtu wake.. Mwache Akae kwa Amani na Salama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Issue siyo kukosa heshima..kuna yale maneno anaweza akaongea tu..Ili uone ulipo siyo sahihi..

Mbali na hayo mazoea pia yanaweza kumfikirisha bado ni wa Muhimu sana na huyo uliyenaye hakutoshelezi ndiyo maana huachi kuwasiliana naye..

Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa.. hapa nimekuelewa point yako. Nyie mnakosa key sahihi za kukutana na ma ex, na zikishakosekana hizo mambo ya ajabu ajabu ndio hutokea sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti U EX bado mpya mpya..[emoji23][emoji23]Huna akili..
Hiyo moment ya U EX Mpya mpya hata kumuona Unajaribu kuepuka maana bado vidonda vinakuwa vibichi..
Atakuwa kapata Mtu wake.. Mwache Akae kwa Amani na Salama...

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁 Naomba siku moja ingetokea tukakutana na mie na mmoja ya ex wangu ndio ungeamini nachokuambia nina fun sana na ex wangu.. Hata leo jioni mmoja nitakuwa nae pale mlimani city mida ya saa moja hivi ukiwa around nishtue uone
 
Hata kama key muhimu zipo lazima ujue thamani yako kama bado upo single au ujue thamani yako na uliyenaye ikiwa upo kwenye Mahusiano...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda nyie mnaachana vibaya, Mie wa kwanza tulijikuta tunatengana kwa umbali sababu ililuwa masomo, wa pili ikaja issue ya masomo, watatu ilikuwa kazi ikatuweka mbali sana, wa nne ma rafiki wanafiki waliunda zengwe badae tukaja jua ukweli mda umeenda, wa tano chemisty iligoma alikuwa mkali sana hadi nilikuwa namuogopa 😁😁😁, wa sita mambo ya ndani sana ila ni mtu wangu wa karibu na bado ana hold vitu vyangu vingi sana, wa saba tumekutana nae kwenye kazi nahisi namuoa mwakani.. wote hao hakuna hata mmoja ambae tunakoseana heshima
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Naomba siku moja ingetokea tukakutana na mie na mmoja ya ex wangu ndio ungeamini nachokuambia nina fun sana na ex wangu.. Hata leo jioni mmoja nitakuwa nae pale mlimani city mida ya saa moja hivi ukiwa around nishtue uone
Dah!!![emoji847][emoji847][emoji847]
Itabidi nitafute muda wakati fulani nishuhudie hiki unachosema hapa HM..
NB..Natumia Milkshake za Grano Coffee....Ahsante[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda nyie mnaachana vibaya, Mie wa kwanza tulijikuta tunatengana kwa umbali sababu ililuwa masomo, wa pili ikaja issue ya masomo, watatu ilikuwa kazi ikatuweka mbali sana, wa nne ma rafiki wanafiki waliunda zengwe badae tukaja jua ukweli mda umeenda, wa tano chemisty iligoma alikuwa mkali sana hadi nilikuwa namuogopa [emoji16][emoji16][emoji16], wa sita mambo ya ndani sana ila ni mtu wangu wa karibu na bado ana hold vitu vyangu vingi sana, wa saba tumekutana nae kwenye kazi nahisi namuoa mwakani.. wote hao hakuna hata mmoja ambae tunakoseana heshima
Kwamba Unamuoa Mwakani[emoji23][emoji23][emoji23]
Na save hii comment.. Mungu atupe uzima[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom