Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Mimi: Mambo vipi Rose?

Rose: Salama! naona leo umenikumbuka?

Mimi: Yes, upo salama?

Rose: Mhhh, baada ya muda wote huo kunikaushia leo upo na nyege zako ndo unanitafuta?, Now naendelea vyema na maisha yangu na sitaki kurudiana na wewe.

Mimi: Rose sikia, mimi sijahitaji kurudiana na wewe nimekutafuta kukujulia hali kwani sina uadui na wewe na leo nimekumbuka those memories we had those time.

Rose: Sawa bhana, Rose alikata simu yake na block nikapata.

Waungwana hivi kuna tatizo kumjulia hali Ex-wako?
Ndio ni kosa
 
Mpka hapo inaonesha hjyo ulokuwa nae kashindwa kuziba pengo ndio maana unamkumbuka ex
 
wa nini sasa, hamuwezi kuachana halafu eti mbaki kuwa marafiki haipo hiyo, kama mmeachana, achaneni jumla jumla
 
Back
Top Bottom