Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

Zipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCORE

Ila TFF wangeshirikiana na Azam kudevelop app ya NBC PL maana hizo app za kizungu ukimtafuta mchezaji wa kibongo uangalie profile yake utakutana na kivuli tu hutaona CV yake inabidi uunge unge kusoma articles za zamani kupata mwanga

Mfano nilishawahi kuangalia profile za wachezaji wafuatao wa kibongo sikuziona

Amos Yona wa prison
Waziri JR wa kmc
Zidane sereli wa DODOMA JIJI
Metacha Mnata wa Yanga
Crispin Ngushi

Sikuona chochote hata mtandaoni hamna taarifa zao walikotoka

Ikabidi nikaulize kijiweni ndio nkaanza kujua kuwa mnata alikuwa Biashara United taarifa zingine hamna

TFF wamelala sana
nawasubiri
 
Tangu lini hawa waswahili wenu wa daresalama ambao ndio wameushika na kuuendesha mpira wa bongo wakawa na hizo ideas za kufanya vitu muhimu kama hivyo?

Wao wako hapo kwa ajili ya kugawana pesa inayotokana na viingilio vya mechi za mapacha wa kariakoo basi, hawana idea yoyote ile endelevu ya kuboresha mpira wetu kuendana na dunia ya kisasa.

Jana nilikuwa namskiliza mwenyekiti wa bodi ya ligi anaelezea sababu ya kuwepo kwa utaratibu mechi za playoffs kwa timu zinazotaka kushuka daraja aise nilimshangaa sana nikazima na redio kabisa.
 
Ipo hiyo inaitwa LIVEBALL nita kitanzania na ina endeshwa na watanzania..

Ina takwimu zote za ligi guu..

Na kizuri zaidi ina NBCPL FANTASY
 
Attachments

  • Screenshot_20240617_190939_One UI Home.jpg
    Screenshot_20240617_190939_One UI Home.jpg
    346.3 KB · Views: 6

sio official. aina original stats kama tackles, dribbling and so on, na pia sio certified for official usage. ni app tu ya kitapeli , those stats can't be published as official stats. so ni wastage of time.
 
So far Liveball ndio only reliable app ambayo inayotoa statistics za ligi yetu na wanajitajidi sana ingawa bado kuna vitu hawana .Sijakuelewa unaposema sio official una maana gani?

Hakuna aliyekuzuia ku-develop app yako ukaita official
 
stats don't go to transfer market or any other official certified site for football statistics. unaweza fanya kazi kubwa amna mtu anaona.
 
Sa sijui unataka official gani
hii tunapoteza mda hizi stats don't go to players files or stats. so ni app tu ya kijiweni. we need statically verified app. sio hii ya kijiweni ambayo hata transfer market awaitambui
 
Back
Top Bottom