Zipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCORE
Ila TFF wangeshirikiana na Azam kudevelop app ya NBC PL maana hizo app za kizungu ukimtafuta mchezaji wa kibongo uangalie profile yake utakutana na kivuli tu hutaona CV yake inabidi uunge unge kusoma articles za zamani kupata mwanga
Mfano nilishawahi kuangalia profile za wachezaji wafuatao wa kibongo sikuziona
Amos Yona wa prison
Waziri JR wa kmc
Zidane sereli wa DODOMA JIJI
Metacha Mnata wa Yanga
Crispin Ngushi
Sikuona chochote hata mtandaoni hamna taarifa zao walikotoka
Ikabidi nikaulize kijiweni ndio nkaanza kujua kuwa mnata alikuwa Biashara United taarifa zingine hamna
TFF wamelala sana