Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

Kumuita mtu mrembo kwa kwa sababu ya picha za ku edit, ni uzuzu flani hivi.
Huyo mtu ukianza kuishi naye siku si nyingi utamuona wa kawaida sana.
Ndio maana upendo ni kitu muhimu na lazima kuwepo. ukisha zoea maumbile na sura basi upendo uwepo
 
Sio picha tuu hata face to face nakutana nae sana
 
Mvue hizo nywele za maiti, futa hiyo red mdomoni, ondoa hiyo jipsum powder aliyojikandika, chomoa hizo kope alizobandika kisha utuletee jibu umeona nini.
 
Ni hatari sana kuoa mwanamke ambae hakula ujana atazibukia ukubwani ndoani na lazima ndoa hio itasambaratika.
Pana mambo kama ukuyafanya utotoni utayafanya ukubwani.
Sasa mama kama huyu age ishaenda ana watoto wanne wakubwa ndo kwanza kumekucha na ulimbukeni kama Christina.
 
Back
Top Bottom