Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

Kumuita mtu mrembo kwa kwa sababu ya picha za ku edit, ni uzuzu flani hivi.
Huyo mtu ukianza kuishi naye siku si nyingi utamuona wa kawaida sana.
Ndio maana upendo ni kitu muhimu na lazima kuwepo. ukisha zoea maumbile na sura basi upendo uwepo
 
Sio picha tuu hata face to face nakutana nae sana
 
Mvue hizo nywele za maiti, futa hiyo red mdomoni, ondoa hiyo jipsum powder aliyojikandika, chomoa hizo kope alizobandika kisha utuletee jibu umeona nini.
 
Ni hatari sana kuoa mwanamke ambae hakula ujana atazibukia ukubwani ndoani na lazima ndoa hio itasambaratika.
Pana mambo kama ukuyafanya utotoni utayafanya ukubwani.
Sasa mama kama huyu age ishaenda ana watoto wanne wakubwa ndo kwanza kumekucha na ulimbukeni kama Christina.
 
Anatomy ile dkk moja move move 🤣bado hujaangalia histology mtu katingisha setting ya darubin unakuta bonge la inzi mkianza kuulizana kila mtu na jibu lake

Mzee wa cadava acha kabisa
Sukuweza penda mtihani wa pratical..na ukute lecture mnoko..utaishia kuandika namba ya swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…