nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi.
Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama zake zipoje?
Nataka kujua kwasababu nimezaliwa na ngozi yenye mabaka meupe. ukiniangalia kwa haraka unaweza sema ni ugonjwa wa ngozi (tangotango).
Niliwahi kutumia cream za kuchanganya kwenye mafuta. Sikuzipenda kwakua zinafanya baadhi ya sehemu kuwa nyeusi sana. Nikaamua kuacha . kusema kweli hii hali inanitesa sana maana najiona mlemavu. Najioma wa tofauti kabisa hasa pale ninapoitizama ngozi yangu na kuwatizama wengine.
Hivyo basi kama kuna vidonge vya namna hiyo, ningependa kujua navipataje.
Kumbuka, lengo sio niwe mweupe. Lengo ni kung'arisha ngozi ili mabaka meupe yaonekane kwa mbali na nisiache ngozi nyeusi