Hivi kuna dawa ya kung'arisha ngozi ?

Hivi kuna dawa ya kung'arisha ngozi ?

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi.

Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama zake zipoje?

Nataka kujua kwasababu nimezaliwa na ngozi yenye mabaka meupe. ukiniangalia kwa haraka unaweza sema ni ugonjwa wa ngozi (tangotango).
Niliwahi kutumia cream za kuchanganya kwenye mafuta. Sikuzipenda kwakua zinafanya baadhi ya sehemu kuwa nyeusi sana. Nikaamua kuacha . kusema kweli hii hali inanitesa sana maana najiona mlemavu. Najioma wa tofauti kabisa hasa pale ninapoitizama ngozi yangu na kuwatizama wengine.

Hivyo basi kama kuna vidonge vya namna hiyo, ningependa kujua navipataje.
Kumbuka, lengo sio niwe mweupe. Lengo ni kung'arisha ngozi ili mabaka meupe yaonekane kwa mbali na nisiache ngozi nyeusi
 
Mkuu ngozi ukiyozaliwa nayo ni the best Kama haina maumivu. Ngoja tuwangojee walioingia madarasani watupe jibu.
 
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi.

Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama zake zipoje?

Nataka kujua kwasababu nimezaliwa na ngozi yenye mabaka meupe. ukiniangalia kwa haraka unaweza sema ni ugonjwa wa ngozi (tangotango).
Niliwahi kutumia cream za kuchanganya kwenye mafuta. Sikuzipenda kwakua zinafanya baadhi ya sehemu kuwa nyeusi sana. Nikaamua kuacha . kusema kweli hii hali inanitesa sana maana najiona mlemavu. Najioma wa tofauti kabisa hasa pale ninapoitizama ngozi yangu na kuwatizama wengine.

Hivyo basi kama kuna vidonge vya namna hiyo, ningependa kujua navipataje.
Kumbuka, lengo sio niwe mweupe. Lengo ni kung'arisha ngozi ili mabaka meupe yaonekane kwa mbali na nisiache ngozi nyeusi
Tunza ngozi uliyopewa, unataka kuing'arisha ionekane na nani?? Haya madawa sio mazuri yaaribu ngozi yako bure. Wacha mtu akupende kama ulivyo. Usijibadilishe, mwisho wa siku utakuja umbuka
 
tumia kula matunda kwa wingi na mbogamboga.

Hasa Avocado, matango, Tikiti
 
Kama haina matatizo nikimaanisha kuuma ama kukuletea madonda achana na dawa. Mshukuru Mungu kwa uumbaji wake.
 
baki na ngozi yako tu mzee huoni we ni mtu special mtu wa mabakabaka hujivunii kua hivo?[emoji56]
 
Ray Kigosi na Nyoshi El Sadat watakusaidia sana ktk hili!
 
Kunywa sana maji, kula matunda matunda ngozi itarudi katika hali yake ya mwanzo
 
Huo ni ugonjwa n unaitwa Vitiligo, Binafsi nina ugonjwa kama wako but am happy ingawa naulizwa sana maswali na watu juu ya ugonjwa huu ila nimeanza tiba, kuna hospt moja ya wahindi ipo pale jengo la umoja wa vijana jirani na Zanzibar insurance...
Pia kuhusu Michael Jackson ni kwamba alijidunga sindano ili kubadili ngozi maana vitiligo ikizidi unaonekana kama umeungua moto hivi, so it's choice kuchagua rangi kwa kutumia tube ili mwili wote uwe mweupe,
Pole lakini
 
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi.

Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama zake zipoje?

Nataka kujua kwasababu nimezaliwa na ngozi yenye mabaka meupe. ukiniangalia kwa haraka unaweza sema ni ugonjwa wa ngozi (tangotango).
Niliwahi kutumia cream za kuchanganya kwenye mafuta. Sikuzipenda kwakua zinafanya baadhi ya sehemu kuwa nyeusi sana. Nikaamua kuacha . kusema kweli hii hali inanitesa sana maana najiona mlemavu. Najioma wa tofauti kabisa hasa pale ninapoitizama ngozi yangu na kuwatizama wengine.

Hivyo basi kama kuna vidonge vya namna hiyo, ningependa kujua navipataje.
Kumbuka, lengo sio niwe mweupe. Lengo ni kung'arisha ngozi ili mabaka meupe yaonekane kwa mbali na nisiache ngozi nyeusi
Dawa ya Asili ya Kung'arisha ngozi jipake Mafuta ya zaituni aka (olive Oil) ngozi yako itakuwa ipo nyororo.

Mafuta ya Zaituni Olive Oil.jpg
 
Back
Top Bottom