bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Apr 15, 2017 #21 Mimi kwanza hakuna option ya kumfollow mtu kwenye account yangu
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,891 Apr 15, 2017 #23 Daby said: Wakati unawafollow hao 6 ulikuwa unabonyeza tu mkuu?[/QUOTE Click to expand... Ha hahhaaaaaaaaaaaaa! You have made up my day kijana.
Daby said: Wakati unawafollow hao 6 ulikuwa unabonyeza tu mkuu?[/QUOTE Click to expand... Ha hahhaaaaaaaaaaaaa! You have made up my day kijana.
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,160 Reaction score 3,368 Apr 15, 2017 #24 Hi unafollow je? Mi naona wameshanifollow 2 lakini sijui wanafanyaje
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,160 Reaction score 3,368 Apr 15, 2017 #25 Compact said: Naam. Mkuu wakiku-tag maana yake unapata direct notification that you are tagged in a certain post. Lakini hii ya kufollow ni mpaka pale utakapoamua mwenye kuiendea News Feed yako na kujionea. Hakuna direct notification. Karibu Mkuu. Click to expand... Nakufollow mkuu naona una maarifa kuntu
Compact said: Naam. Mkuu wakiku-tag maana yake unapata direct notification that you are tagged in a certain post. Lakini hii ya kufollow ni mpaka pale utakapoamua mwenye kuiendea News Feed yako na kujionea. Hakuna direct notification. Karibu Mkuu. Click to expand... Nakufollow mkuu naona una maarifa kuntu